Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu.
Vichwa vyao vimejaa sentensi za kujiwekee tumaini aina ya mjazo njaa.
Poleni CHADEMA wana choka Mbaya na Hali ni mbaya huku bwana kupewa manyota Mbowe akivimbiana na kujisifu ana pesa za kumwaga.
Poleni wana kupewa wana wa dubwana Mbowe.