Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.


 
Hauamini?Mwanzo yawezekana alikuwa na wenge.Pia mkuu wake wa awali alipenda vibweka vyake na walielewana.Kwa sasa naamini anajua acheze ngoma akianza na mguu upi na vigelegele vifike umbali upi!
Currently sijamfatilia ngoja nimweke kwenye category ya check engine
 
Naanza kuona kama Makalla alipwaya sana, au aliconcentrate kwenye ulaji badala ya kufanya kazi. Huyu jamaa kwa muda mfupi tu ameweza kutambua mambo kadhaa ya mkoa. Huo mgogoro wa Karikoo ni kweli haukutakiwa ufike vile, Nina imani na Mama.
 
Back
Top Bottom