Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

Mwigulu mnamuonea, mwigulu hatungi sheria za nchi, mwigulu hatungi yeye miswaada ya bungeni, mwigulu hapitishi yeye miswada kuwa sheria, bali Rais ndie anaepaswa kupokea lawama maana ndie FINAL say wa hizo sheria kandamiz zinazotungwa bungeni nayeye kuzibariki na ninyi msiojua mambo yanakwendaje mnaanza kumuattack mwigulu badala ya Bosi wa mwigulu ambeye ndie tatizo ktk nchi.

Mwigulu ni kama chawa tu, tatizo lenyewe ni huyo rais wenu mnaemuonea aibu kumuchallenge kwa madhaifu yake nchini.
Sasa kama waziri anakimbiza muswada bungeni wakati bado yupo kwenye meza ya mashauriano hiyo maana yake nini? Waziri ndiye anapeleka miswada ya kanuni kamdamizi za forodha, store nk.
 
Back
Top Bottom