Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.

Kumbe aliyeondolewa ni CPA? Hizi mbwembwe za elimu!
 
Kumbe Rais Samia pia anamtambua kuwa yule ni mtu wa wild thinking.
Kama hapo yuko calm,lakini jana alikuwa very fierce.
Atayaondoa matatizo kwa kuwa na ushirikiano na MaDAS,lakini pia ashirikiane na walio juu yake.
There is no peace for the wicked,saith The Lord.
 
Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.

Hiyo speech kasoma tu waliomuandalia ndiyo wapongezwe
 
Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.

Anaweza
 
Mkuu wangu wa mkoa yuko vizuri hajashika notes book wala nini anatoa kichwani safi sana
 
Back
Top Bottom