Kumbe aliyeondolewa ni CPA? Hizi mbwembwe za elimu!Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
Hiyo speech kasoma tu waliomuandalia ndiyo wapongezweLeo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
AnawezaLeo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
Ni mnyalukolo tusisahauHuyu akitulia huwa yuko vizuri, tatizo lake kujizima dataa na hulka ya hasira plus kukurupuka
Apewe muda
We chawa πAna kitu,atafika mbali
Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kwelii.Ni mnyalukolo tusisahau
Hayo maswali yamepigwa marufukuπ π π π .Mimi ni nani wako...π
Sijahusika kwenye hiyo marufuku, mimi ni nani wako??Hayo maswali yamepigwa marufukuπ π π π .
Itakua wanaelekea Burundi hao, Bongo imewashinda!!Unambiwa chadema wametimkia kigoma
Inamaana muda wowote ule anaweza kujitundika!!?Ni mnyalukolo tusisahau
Akikasirishwa nashauri ulinzi uimarishweInamaana muda wowote ule anaweza kujitundika!!?
Hii nchi bila kujizima data hutoboi!!Huyu akitulia huwa yuko vizuri, tatizo lake kujizima dataa na hulka ya hasira plus kukurupuka
Apewe muda