Mwigulu mnamuonea, mwigulu hatungi sheria za nchi, mwigulu hatungi yeye miswaada ya bungeni, mwigulu hapitishi yeye miswada kuwa sheria, bali Rais ndie anaepaswa kupokea lawama maana ndie FINAL say wa hizo sheria kandamiz zinazotungwa bungeni nayeye kuzibariki na ninyi msiojua mambo yanakwendaje mnaanza kumuattack mwigulu badala ya Bosi wa mwigulu ambeye ndie tatizo ktk nchi.
Mwigulu ni kama chawa tu, tatizo lenyewe ni huyo rais wenu mnaemuonea aibu kumuchallenge kwa madhaifu yake nchini.