Hotuba ya mwisho ya Muamar Gaddafi-aliyosema yametokea!

Watakuja kukaa sawa tu, hivi alidhani kuongoza binadamu kwa miaka 40 watakupenda? Au alijuwa kuwa yeye ni jiwe au nini? Alitakiwa amwandae kiongozi mwingine wa kumrithisha kazi baada ya yeye kukaa miaka 30.
Mbona wafalme, familia na koo zao zinatawala muda mrefu kama vile nchi ni mali yao binafsi
 
Boxing hata Zanzibar ilipigwa marufuku
 
Wewe na lichama lako CCM hambagui Watanzania ?!.
 
Unachekesha kwani
Amevuruga nchi kwa utawala wake mbovu wa kidikteta haikuwa na mifumo ya kiutawala yeye akiondoka lazma vurugu zitokre kumrithi. Kakaa madarakani miaka almost 40 kaingia kwa mtutu kaondoka kwa mtutu
Malkia alikaa miaka mingapi madarakani au mfalme wa Saudia arabia wako madarakani tokea lini na mbona analindwa na hao tena wameweka military base Saudia kuulinda ufalme ule issue ni mafuta na interest zao hio nyingine ni scape goat tu ya kupata wanachokitaka ,mfano kule Syria wameshindwa kwa kuwa wasyria wanamarafiki imara wenye nguvu la sivyo nao wangekuwa washasahaulika shida Gaddafi alikuwa hana strong and powerful friends pole yake na mwisho wake ukamkuta.
 
Ni kweli pesa ya mafuta ilikuwa inamtia uchizi!
Tanzania tulimfundisha kuwa andazi si kitumbua na alikoma, "akawanunua" askari wake waliotekwa.
Ila sasa kwa wananchi wake aliwatendea mambo ya ajabu kimaendeleo ambayo leo hawawezi kuyapata tena.
Waarabu wana roho mbaya sana licha ya kushinda misikitini.
Nchi zao wameziharibu kwa upumbafu wao wakisingizia nchi za magharibi na sasa wanakufa baharini wakienda ulaya.
Waarabu ni kama mbwa, wakiwa wanatembea pamoja na kucheza unaweza fikiri wanapendana sana, rusha kipande cha nyama, wanaanza kupigana na kuuana wenyewe. Angalia Libya, Syria, Sudan, Somalia na Pakistan. Ni kuuana tu
 
Kama mlifikiri Mungu anakuwa fundi kwa kundi moja tu la watu Ulimwenguni, mmefilisika.

Mwenyezi atufikishie mbali majangwa, walakini yanayotokea huko Morroco na Libya ni hasira za mwenyezi mungu kwa mateso yaliyowapata watu wake, Waafrika.

Ilikuwa hukosi kusikia unyanyasaji na mauji ya Waafrika waliokuwa wakipita nchi hizo kuelekea Ulaya na kwingineko kujitafutia ridhiki, Waarabu hao kwenye nchi hizo wakatumia unyonge wa watu hao kujitajirisha haraka haraka huku wakiwaachia maumivu makali ya kiroho Waafrika waliokuwa wakipita huko-mungu fundi-hawezi kuwaachia watu wake wateseke tu bila ya kuwaadhibu madhulumat-kawapiga na tetemeko na mafuriko, yote haya yakiwa ni "wrath of god" kuwaambia hao Waarabu, Komeni! Komeni kunyanyasa watu wangu, komeni unyanyapaa wenu.

Hatahivyo ni janga, na poleni wafiwa wote huko.

Mungu ni mkubwa siku zote, wacheni kumpangia ufundi wake.
 
Siyo kama hawana marafiki. Waarabu hawana umoja halafu hawapendani (wanaroho mbaya sana, mwaarabu kukuua ni km anachinja kuku)
Wewe mtu mmoja kutoka nje, unaweza kwenda kwenye nchi za waarabu ukawachonganisha na wakauana. Mwaarabu ni mjinga sana
 
Siyo kama hawana marafiki. Waarabu hawana umoja halafu hawapendani (wanaroho mbaya sana, mwaarabu kukuua ni km anachinja kuku)
Wewe mtu mmoja kutoka nje, unaweza kwenda kwenye nchi za waarabu ukawachonganisha na wakauana. Mwaarabu ni mjinga sana
Gaddafi hakuwa na marafiki wenye nguvu hio ndio sababu maana kilichotokea Libya ndio kilichotokeq Syria kwa nini Asad yupo hadi leo ni marafiki wenye nguvu ndio wamemsaidia pale msaada amepata toka afghan,lebanon ,iran akiwa kinara mkuu na pia Russia kwa kuwa Russia ana naval base pale tartus syria sasa Gaddafi alikuwa peke yake akashindwa yeye alijisogeza zaidi huku umoja wa africa nao wapi wakampotezea baada ya kutaka kumpelekea msaada wakachimbwa mkwara na mabeberu wakanyamaza tuli Mugabe tu ndio alipeleka mamluki kwa uchache ila wapi Gaddafi alijua akisaidia kuujenga umoja wa africa siku moja utamfaa lakini kaambulia patupu ECOWAS wenyewe kule hola wameahindwa kumtetea mwenzao wa Niger hio ndio Africa divided we stand , itakuwa mwishoni Gaddafi alijilaumu kuwa na uadui na watu kama wairan maana ndio waliomsaidia mwenzie pale syria.
 
Ila Africa iungane na isimame isikubali tena kilichotokea Libya kutokea popote pale ndani ya Africa maana ni aibu nchi za wazungu mabeberu kuja kuivamia nchi ya kiafrica na kuitoa serikali madarakani iwe nchi moja ikivamiwa africa yote imevamiwa.
 
Wazungu wanawapenda sana wafrica mazuzu kama wewe Wanatamani bara lote la Africa liwe linaongozwa na maraisi mazuzu kama wewe

Na hata siku Moja zuzu kama wewe hauwezi kuwakubali maraisi kama

JIWE
GADDAFI
PUTIN
KIDUKU WA COREA

Muondoe JPM kwenye hilo list ya vichaa na madicteta.

Halafu zuzu na mpuuzi ni wewe na ukoo wako.
 
Watanzania walivyo... watakupinga tu....
 
Waarabu wanamatatizo ya akili na pia hawapendani. Siyo kigezo cha kutokuwa na marafiki.
Ghadafi ameuwawa na wanalibya wenzake. Ile vita wanalibya walikuwa mstari wa mbele wakiongoza vita.
Mfano. Hapo kwenu nikampa bunduki mdogo wako akuue, naye akabeba akakuua. Utasema hukuwa na marafiki?
 
Hujaelewa hata syria ni hao hao wasyria wakiongozwa na wageni wasiolitakia mema syria ila kwa kuwa anamarafiki wakumsaidia ndio maana kashinda siku zote mabeberu wanawatumia watu wa hapo hapo Gaddafi angekuwa na strong allie kama syria angesurvive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…