Hotuba ya mwisho ya Muamar Gaddafi-aliyosema yametokea!

Gaddafi alikua muslim propagandist na mfadhili mkubwa wa vikundi vya kigaidi,ndiye aliyemfadhili Iddi Amin katika vita vya Tz na uganda.

Wananchi wake walimchoka kwa udikteta ndio mana walimuua kafiri yule.
Acha KUENDESHWA na chuki ww.
Gaddafi alikiri makosa yake na aliomba msamaha na alilipa fidia kwa hayo makosa au ww mtoto wa juzi haujui!?
Tunamzungumzia Gaddafi aliyewakataa waarabu wenzake ili aiunganishe Africa, tunamzungumzia Gaddafi ambaye aliyetoa misaada ya mikopo na kujitahidi kuiinua Africa kiuchumi na tunamzungumzia Gaddafi ambaye aliwapa maisha mazuri walibya huyo ndio Gaddafi tunamzungumzia hapa.
Hata ww una dhambi au haujawahi kukosea??
 
Katika kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea duniani ni GHADAFI, alichangia pakubwa katika instability ya Afrika kwa kufadhili vikundi vya kigaidi vilivyokuwa vinaeneza dini yake.Alitengeneza Taifa la mazezeta ambayo yalikuwa yanalipiwa mahari kwa kutumia sehemu mdogo ya mapato ya nchi na sehemu nyingine aliitumia kueneza propaganda za dini yake, kusapoti vikundi vya jihadi, kununua baadhi ya viongozi na kujenga misikiti Kila pande za Afrika akiamuni kuwa angeweza kuibadili Afrika iwe ya dini moja
 
Toa mfano wa shule, hospitali au barabara aliyoijenga Ghadafi Tanzania tofauti na misikiti kibao aliyoijenga hata porini kusipokuwepo watu
 
Katika kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea duniani ni GHADAFI, alichangia pakubwa katika instability ya Afrika kwa kufadhili vikundi vya kigaidi vilivyokuwa vinaeneza dini yake.Alitengeneza Taifa la mazezeta ambayo yalikuwa yanalipiwa mahari kwa kutumia sehemu mdogo ya mapato ya nchi na sehemu nyingine aliitumia kueneza propaganda za dini yake, kusapoti vikundi vya jihadi, kununua baadhi ya viongozi na kujenga misikiti Kila pande za Afrika akiamuni kuwa angeweza kuibadili Afrika iwe ya dini moja
Vikundi gani vya kijihad alifadhili Qaddafi ?
 
Hujaelewa hata syria ni hao hao wasyria wakiongozwa na wageni wasiolitakia mema syria ila kwa kuwa anamarafiki wakumsaidia ndio maana kashinda siku zote mabeberu wanawatumia watu wa hapo hapo Gaddafi angekuwa na strong allie kama syria angesurvive.
Shida unatoa lawama kwa mabeberu huku umesahau kuwa mwaarabu ndiyo shida yenyewe.
Umesikia Marekani, Canada, Ujerumani, France na Uingereza kuna vikundi vya kigaidi? Hata wewe ukianzisha hautoboi ila ni rahisi kuanzisha kikundi cha kigaidi kwenye nchi za kiarabu.
Mfano. Marekani, wananchi wanaipenda nchi yao sana linapokuja katika suala la kuilinda.
Unamuua mtoto wako mwenyewe kwa maneno ya kuambiwa halafu unajiona hauna makosa?
Waarabu ni wajinga, hawana akili, wabinafsi na hawapendani. Vikundi vya kigaidi wao ndiyo wanaanzisha, pale Libya ndiyo walikuwa vitani. Angalia sudani wanavyouana kwasababu ya madaraka.
Unasema msaada, msaada gani wapewe wakati wenyewe hawapendani? Iran alipigana vita mwenyewe na Marekani.
Syria waarabu walikuwa mstari wa mbele kuchinja watu wakiongozwa na Islamic state (IS). Marafiki gani unaowazungumzia?
Waarabu wana matatizo sana. Mfano hai.
  • Angalia kwenye mechi za mpira za Confederation na Champion League, wanapiga mabaruti, moshi yaana roho mbaya tu.
  • Mwanamke hajafunika kichwa ni kosa anahukumiwa kifo kwasababu ya imani za kusadikika,
  • Ukiacha uislamu ni kifo (unakatwa kichwa). Unamhukumu mwenzako kwa imani za kusadikika.
  • Angalia Afghanistan, mwanamke haruhusiwi kusoma, kufanya kazi yoyote, kwenda saloni ni nyumbani tu. Ni matatizo matupu tu
 
Gadafi aliuwawa kwa sababu ya unafiki wa watawala wa kiafrika wao ndio wa kulaumiwa thus huu moto wa mapinduzi ufike hadi huku kusini.
Umoja wa Africa walikaa kimya kama mjusi kwenye mlango.
Wangempa mfaransa masaa 24 afunge embassy zake Africa Kama atatia mguu Libya.
Hadi kesho Gadafi angekuwa mzima.
Hovyo sana.
 
Gaddafi alikua muslim propagandist na mfadhili mkubwa wa vikundi vya kigaidi,ndiye aliyemfadhili Iddi Amin katika vita vya Tz na uganda.

Wananchi wake walimchoka kwa udikteta ndio mana walimuua kafiri yule.
We jamaa kila panapo tajwa uislam m.k.u.n.d.u. wako unakosa Amani kabisa. kumbe jf WA ngese kumbe wamo?
 
Amevuruga nchi kwa utawala wake mbovu wa kidikteta haikuwa na mifumo ya kiutawala yeye akiondoka lazma vurugu zitokre kumrithi. Kakaa madarakani miaka almost 40 kaingia kwa mtutu kaondoka kwa mtutu
Inasikitisha sana
 
Kuna wapuuzi umu jamvini wanamuongelea vibaya SIMBA wa Africa Gadafi yule jamaa alitaka Africa tutumie pesa Moja ambayo backbone yake iwe ni gold NATO wakaona hooo uyu jamaa anataka uchumi wetu u collapse wakamuwai fasta Leo nyie kenge mnalia Dola imekuwa adimu alafu mnamkejeli mtu aliyetaka kuwatoa kwenye uwo mnyororo wa mateso wasauzi kamwe awatomsahau Gadafi Kwa alichoeafanyia kwenye maandalizi ya kombe la dunia 2010 ni Gadafi uyu uyu ndie alitoa fedha za nchi yake kwenda kwenye BANK YA AFRICA bila riba wala masharti Ili waafrica wenzake wakope bila riba Ili kukuza uchumi wa nchi zao ...alafu anatokea kenge kisa tu anachuki na waarabu anamtukana Gadafi..
 
Acha KUENDESHWA na chuki ww.
Gaddafi alikiri makosa yake na aliomba msamaha na alilipa fidia kwa hayo makosa au ww mtoto wa juzi haujui!?
Tunamzungumzia Gaddafi aliyewakataa waarabu wenzake ili aiunganishe Africa, tunamzungumzia Gaddafi ambaye aliyetoa misaada ya mikopo na kujitahidi kuiinua Africa kiuchumi na tunamzungumzia Gaddafi ambaye aliwapa maisha mazuri walibya huyo ndio Gaddafi tunamzungumzia hapa.
Hata ww una dhambi au haujawahi kukosea??

Alilipia makosa kwa kuuliwa na wananchi wake mwenyewe aliyewajari,udikteta na ugaidi lazima hayo yangemfika tu mana aliumiza wengi.
 
We jamaa kila panapo tajwa uislam m.k.u.n.d.u. wako unakosa Amani kabisa. kumbe jf WA ngese kumbe wamo?

Mtu yeyote anayeleta habari za mikundu na kufirana huyo ndio muhusika mkuu,pole sana waarabu sio watu wazuri walichokufanya huko nyuma sasa unaishi kwa kuvaa pampas.
 
Kuna wapuuzi umu jamvini wanamuongelea vibaya SIMBA wa Africa Gadafi yule jamaa alitaka Africa tutumie pesa Moja ambayo backbone yake iwe ni gold NATO wakaona hooo uyu jamaa anataka uchumi wetu u collapse wakamuwai fasta Leo nyie kenge mnalia Dola imekuwa adimu alafu mnamkejeli mtu aliyetaka kuwatoa kwenye uwo mnyororo wa mateso wasauzi kamwe awatomsahau Gadafi Kwa alichoeafanyia kwenye maandalizi ya kombe la dunia 2010 ni Gadafi uyu uyu ndie alitoa fedha za nchi yake kwenda kwenye BANK YA AFRICA bila riba wala masharti Ili waafrica wenzake wakope bila riba Ili kukuza uchumi wa nchi zao ...alafu anatokea kenge kisa tu anachuki na waarabu anamtukana Gadafi..

Alitumia utajiri wake kujipendekeza kwa waafrika ili awatumie kama ngazi kufanikisha malengo yake ovu,wananchi wake wake walimchoka wakaamua kumuua kafiri yule.
 
Shida unatoa lawama kwa mabeberu huku umesahau kuwa mwaarabu ndiyo shida yenyewe.
Umesikia Marekani, Canada, Ujerumani, France na Uingereza kuna vikundi vya kigaidi? Hata wewe ukianzisha hautoboi ila ni rahisi kuanzisha kikundi cha kigaidi kwenye nchi za kiarabu.
Mfano. Marekani, wananchi wanaipenda nchi yao sana linapokuja katika suala la kuilinda.
Unamuua mtoto wako mwenyewe kwa maneno ya kuambiwa halafu unajiona hauna makosa?
Waarabu ni wajinga, hawana akili, wabinafsi na hawapendani. Vikundi vya kigaidi wao ndiyo wanaanzisha, pale Libya ndiyo walikuwa vitani. Angalia sudani wanavyouana kwasababu ya madaraka.
Unasema msaada, msaada gani wapewe wakati wenyewe hawapendani? Iran alipigana vita mwenyewe na Marekani.
Syria waarabu walikuwa mstari wa mbele kuchinja watu wakiongozwa na Islamic state (IS). Marafiki gani unaowazungumzia?
Waarabu wana matatizo sana. Mfano hai.
  • Angalia kwenye mechi za mpira za Confederation na Champion League, wanapiga mabaruti, moshi yaana roho mbaya tu.
  • Mwanamke hajafunika kichwa ni kosa anahukumiwa kifo kwasababu ya imani za kusadikika,
  • Ukiacha uislamu ni kifo (unakatwa kichwa). Unamhukumu mwenzako kwa imani za kusadikika.
  • Angalia Afghanistan, mwanamke haruhusiwi kusoma, kufanya kazi yoyote, kwenda saloni ni nyumbani tu. Ni matatizo matupu tu
Kama huelewei the world geopolitical na influence zake basi mabeberu watakushika kichwa kwa pale middle east iran ni regional power na yuko mstari wa mbele pale Yemen ,syria na lebanon na pia anainfluence kubwa kwenye shia community na hio ndio sababu kuu mabeberu yamefeli kumtoa Assad wa Syria madarakani , tunaposema marafiki na msaada tunaamaanisha watu wakuja kusimama na kupigana na wewe kama syria ambavyo hivyo Gaddafi alikosa , kuhusu ugaidi hio ni creation ya mabeberu ili kufikia malengo yao kama mamullah wa Afghan ni magaidi mbona wamenegotioate nao peace na kuwarudishia serikali baada ya kuwashindwa siasa za dunia zinamambo hususani pale mabeberu wakiwa wanataka interest zao zifanikiwe.
 
Back
Top Bottom