Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza to start with, hakuwahi kusema hivo, hii ni hoax. na kama hakusema hivo, despite his strong racist feelings, ni sababu hakuna ukweli wowote. tofauti ya maendeleo kati ya nchi za kiafrica na nchi za kizungu au za asia (sisemi waafrika na wazungu au watu wa asia) ni namna serkali na vikundi vingine vyenye maamuzi (decision making actors) wana apply theories to practice, namna wanaunda policies na namna wanamiliki ressources.
Huku afrika serkali zinakosa accountability na raia hawapewi nafasi ya kuwaomba wahusika wawajibike au wajiuzulu. maybe sababu tunaogopa, maybe sababu hatujali, kila mtu ajiulize.
Ila hakuna kabisa tofauti ya akili iliyo kua based on the color of the skin. that is what THEY want you to believe ili uendelee kuogopa, uendelee kutojali.
Japo maneno yake ni ya kibaguzi, ila yana maana kubwa.
SASA KWANINI IWE BARA LA AFRIKA TU, THEN THAT'S THE VERY WEAKNESS. HE'S RIGHT!The average Black does not plan his life beyond a year."kwanza to start with, hakuwahi kusema hivo, hii ni hoax. na kama hakusema hivo, despite his strong racist feelings, ni sababu hakuna ukweli wowote. tofauti ya maendeleo kati ya nchi za kiafrica na nchi za kizungu au za asia (sisemi waafrika na wazungu au watu wa asia) ni namna serkali na vikundi vingine vyenye maamuzi (decision making actors) wana apply theories to practice, namna wanaunda policies na namna wanamiliki ressources.
Huku afrika serkali zinakosa accountability na raia hawapewi nafasi ya kuwaomba wahusika wawajibike au wajiuzulu. maybe sababu tunaogopa, maybe sababu hatujali, kila mtu ajiulize.
Ila hakuna kabisa tofauti ya akili iliyo kua based on the color of the skin. that is what THEY want you to believe ili uendelee kuogopa, uendelee kutojali.
SASA KWANINI IWE BARA LA AFRIKA TU, THEN THAT'S THE VERY WEAKNESS. HE'S RIGHT!The average Black does not plan his life beyond a year."
Mfano wa karibu tanzania angaria igunga, kafumo alikuwa katibu wizara ya madini ambayo imefanya vibaya kuliko wizara yoyote na tumeona watu wa igunga wamemchagua kuwa mbunge na vijana walio wengi hawajapiga kura wameuza shahada za kwa ccm ili wasipige kura so what kind of young people do we have, botha is totaly right.In my opinion the average black person thinks far than that. But the problem is with african leader, ambaye mahesabu yote ni pombe na wanawake, akiingia madarakani akili yake kubwa ni kwamba ni kwamba atakamata mwanamke gani, wa rangi gani, au atakunana na star gani au atakunywa bia whisky gani. Hafikirii kuwa atafanya nini kwa nchi yake, au hata hajui kuwa anaishi kwenye nchi.
Mimi labda niseme mambo machache tu kuhusiana na hii thread, mani nimekua nikijiuliza maswali mengi juu ya maendeleo ya Afrika na tafauti ya kimaendeleo kati yetu na wao (Wazungu au waasia). Jambo kubwa sana linalo au lilo tumaliza waafrika kifikra ni Biashara haramu ya utumwa ya miaka 400 na Ukoloni kwa miaka 100, tunaweza tusione athari hii wazi wazi ila hivyo vitu viwili zimetuumiza sana na hata kutafasiri na kuamua maisha yetu ya baadae, na kama unataka kuamini hili la utumwa angalia karibu waafrika wote duniani kote nkimaanisha watu weusi ni kama wako sawa katika mafikirio na maamuzi. kitu cha pili na hata baada ya kupata UHURU hakuna cha maana tulicho badilisha, hapa nikiongelea mfumo wa Elimu, kwanini sisi waafrika tuna elimu? Je, hii Elimu tuliyoikupa kuna kitu inatusaidia??? Kama kabla ya ukoloni tulikua na Elimu iliyokuwa ikitolewa kulingana na mahijati ya jamii ni kwa nini tusinge iboresha ili iweze kutusaidia??
Mimi bado nina amini kama kusinge kuwa na Biashara ya Utumwa na Ukoloni tungeweza kushindana kiuwazi katika fikra na bado tungeweza kuvumbua vitu vyetu na kuvishindanisha kwa ubora na vya mabara mengine na bado tukaibuka kidedea, kuna mtu aliwahi kusema mfano kwenye mashindano ya Olympic Nchi nyingi sana za kiafrika zinafanya vibaya sana michezo mingi ukiachilia riadha na akapendekeza waweke michezo ya kiafrika kama kucheza Ngoma waone kama watu hawajaibuka na medali za kumwaga.