Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu


Kuwa na madaraka au Rais au Waziri Mkuu hakumaanishi "kutawala" hivi katika ukweli haswa, unaamini kuwa kuna mtu mweusi anatawala? mimi sijaiona.
 
Yap nakubaliana na wewe sana tu lakini iwe ktk matendo yako yanayoonekana kuwa tofauti na uongo unaovumishwa. Kwa hiyo, kuna pande mbili za Uvumilivu kam zilivyo pande mbili za argument.. JK ameweza kuvumilia maneno kwa sababu hayamnyimi usingizi na anaendeleza kufanya ayatakayo na hakuna uongo hivyo akikurupuka itamharibia zaidi, wakati yawezekana Dr.Slaa anavumilia kwa sababu ni uongo unamyima usingizi lakini hataki kukurupuka kwa sababu hajui jawabu dhidi ya uongo..


Yote haya, athari yake ni kubwa sana kwa mhusika, kinachotakiwa ni kusafisha jina na zipo njia tofauti za kusafisha jina iwe kwa vitendo ama kauli lakini kukaa kimya haiwezi kumsaidia mtu ikiwa uongo huo utaendelea kusemwa kiola siku. Mtazame Lowassa kashindwa kuvumilia iwe uongo lakini alipopewa nafasi kashindwa kujisafisha kwa sababu azijuazo mwenyewe na hakika jina lake litaendelea kuharibiwa iwe kulikuwa na ukweli ama uongo...Na ktk hatua hii ndio nawasifia viongozi wetu kama Zitto, Mbowe na Salim na Mwakyembe hawa jamaa wanajua athari za uongo ama ukweli unapozungumzwa sana, na ndio maana mtu kama mimi nitamwamini sana Zitto kuliko viongozi wengineo hata kama anayo mapungufu yake.

Na tukirudi ktk mada, Huyu Botha aliyasema aloyasema yawe na ukweli ama uongo lakini tumeweza kuonyesha kwa maneno na vitendo kwamba tunaweza kujitawala ndani mfumo wao na katika mazingira magumu zaidi lakini leo tupo Huru..Kweli tunakabiriwa na na udhaifu mkubwa sana ktk Uongozi jambo ambalo linatokana na athari za utumwa kumpa Unyapala.. Na hulka ya mwanadamu tunasema ni bora Slave owner ktk matendo yake kuliko nyapala mwenye whip! ukimkabidhi uongozi atakuwa mbaya zaidi kutokana na kwamba Nyapala hana goals isipokuwa kumridhisha bwana wake.

Ukweli mkubwa maboa mimi naukubali ni kwamba sisi waafrika ni WANAFIKI kutokana na historia, tumekua ktk makuzi ya kupendwa tupendeze mbele ya macho ya mabwana zetu, ni watumwa ambao kila mmoja wetu anatafuta nafuu yake, Ubinafsi wetu umetokana na utamaduni huo, hivyo kwa mwenye kuchomoka ktk adha hizi ni mshindi kama vile wafungwa wanaotoroka Jela..

Niiu asili ya Botha, kizazi chao walikuwa wafungwa tena majambazi yaliyoshindika ahuko Ulaya yakatupwa South Afrika mabli na Ulaya lakini yakaweza kuji organise na kuunda utawala wao, leo hii kweli ulitegemea Botha atazungumza zuri lolote kuhusu Waafrika ikiwa hao wazungu wenzake walishindwa?..Kwa hiyo waache waseme, tunayo mapungufu kweli lakini haya mapungufu ndio tunayopigana nayo leo hii kama walivyopigana wazazi wetu kuondokana na utawala wa makaburu. Ni hatua ktk maendeleo na UTU wetu tofauti na hao kina Botha -They have lost everything!
 
''The state which stays in foolishness will die in it's foolishness''
 
Dah, huyu jamaa ni kama aliongea mambo ya ajabu lakini kuna ukweli fulani kwa umbali vile......................tatizo kubwa hili!
 
Soma thread yangu nimeituma leo alikuwa waziri mkuu na baadae Raisi wa south Frika wakati wa ubaguzi wa rangi.
 
Kwenye Hotuba yake kuna mengi ya ukweli na ya kujifunza.
Haijalishi,nia yake haswa ya kuandika hayo ni ipi?

Acheni utumwa wa akili.Bora kufa masikini kuliko kudhalilishwa kiasi hiki! Utu ni mtu!

Hii hapo chini i mojawapo tu kati ya statements zilizonitia kichefuchefu!
We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacks that we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks in a thousand and one ways.

We unammini kuna a superior race?
 
Haijalishi,nia yake haswa ya kuandika hayo ni ipi?

Acheni utumwa wa akili.Bora kufa masikini kuliwa kudhalilishwa kiasi hiki!

Hii hapo chini i moajwapo tu ya statement zilizonitia kichefuchefu!


We unammini kuna a superior race?
Ni superior kwasababu wanatumia akili zao sisi tunafuata ujinga nature imetuumba sawa lakini ni yupi anayetumia akili zake vizuri? Tungekuwa na akili tusingetwaliwa na wazungu. Mpaka sasa tunashindwa Afrika kujitawala wenyewe. Nakuomba usifuate ubishi sana jaribu kutafuta maarifa na uelewa. huu ubishi mnaoufanyaga jamii forum hauna msingi. Humu ndani tunaweza kuelimishana sana kila mtu anauelewa wake. Angalia dunia ya sasa ni kina nani walio fanya uvumbuzi na kurahisisha maisha?
 
du jamaa ni mpaguzi namba moja duniani.lakini tufanyie kazi pia uzembe wetu.
 
Samahani,mjadala wangu na wewe uishie hapa,naomba tafadhali.Soori! We mjinga kabisa,nilikuuliza kama unajuwa nia yake ya kuandika hukujibu,sasa unaleta haya makapi ya kitumwa!

Yeye kaihusisha superiority na ngozi!Na wewe unaleta blah blah za eti sijui ni yupi anatumia akili zaidi...Kama akili yako ni tope si kila mtu,damn it!

Nitaanzisha thread niombe niwekewe mitaala ya shule za kata...Ama kama unajuwa niwekee,ili nisije kupoteza nguvu na muda wangu.

Hatuna nchi...

We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings

Inawezekana kabisa hukielewi kiingereza cha mabwana zako!
 
Botha alisema ukweli ambao kila mzungu anafeel kuhusu black.
The evil you know is better than the evil you dont know.
Hii hotuba ya PW Botha ni kutukana black race, lakini sisi wenyewe blacks/waafrika/viongozi wetu tunajitahidi kuhakikisha kuwa hotuba yake inatimilika. We are tumbling in the shadow of Botha's speech.
We have vivid examples.
It is painful to be told the truth.
 
What can you do to prove Botha wrong?
 
Unafikiri makaburu wasingeenda south Afrika ingekuwa kama ilivyo sasa? Sisi waafrika hatutaki kujua mapungufu yetu na kujisahihisha. Mpaka sasa bado ni tegemeze hadi wanatupa masharti ya ushoga kwenye misaada. Tatizo letu hatutaki kufikiri. Mtu yeyote hawezi kumtawala mtu mwenye akili, mtu mjinga ndio anayetawaliwa. Nimezungumza mara nyingi sana juu ya ignorance humu jamii forum. Wewe unafikiri nchi kama israeli ingekuwa ina nchi kama hii ingekuwaje? Tubadilike sasa na tuanze kufanya juhudi kukomboa taifa letu na kuleta heshima yetu rafiki yangu.
 
They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex.
.
Who needs a proof about that?
The head of state explains it all.
 
Hotuba ya pw botha naichukulia kama challenge na inspirational for my Africanism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…