Huyu jamaa aliamua tu kuacha unafiki wa wazungu wenzake na kuwageuka kwa kusema ukweli.Botha speech 1985:
By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other.
...
Unafikiri makaburu wasingeenda south Afrika ingekuwa kama ilivyo sasa? Sisi waafrika hatutaki kujua mapungufu yetu na kujisahihisha. Mpaka sasa bado ni tegemeze hadi wanatupa masharti ya ushoga kwenye misaada. Tatizo letu hatutaki kufikiri. Mtu yeyote hawezi kumtawala mtu mwenye akili, mtu mjinga ndio anayetawaliwa. Nimezungumza mara nyingi sana juu ya ignorance humu jamii forum. Wewe unafikiri nchi kama israeli ingekuwa ina nchi kama hii ingekuwaje? Tubadilike sasa na tuanze kufanya juhudi kukomboa taifa letu na kuleta heshima yetu rafiki yangu.
Mimi nafikiri it is our call now wakati wazungu wakijiingiza sana katika masuala ya starehe sisi kufanya juhudi kizazi hadi kizazi kujikomboa.Ukweli unauma. na wasemao uongo wanakubalika kuliko wasemao ukweli.
That he is a hater!What can you do to prove Botha wrong?
Sasa kama tayari ameshatanguliza kwa kusema hawapendi blacks,unategemea analysis yake itakuwa fair?We do not pretend like other Whites that we like Blacks.
Crap!Wazungu wako walivyo kwasababu waliambiwa mapungufu yao na waafrika?Unafikiri makaburu wasingeenda south Afrika ingekuwa kama ilivyo sasa? Sisi waafrika hatutaki kujua mapungufu yetu na kujisahihisha. Mpaka sasa bado ni tegemeze hadi wanatupa masharti ya ushoga kwenye misaada. Tatizo letu hatutaki kufikiri. Mtu yeyote hawezi kumtawala mtu mwenye akili, mtu mjinga ndio anayetawaliwa. Nimezungumza mara nyingi sana juu ya ignorance humu jamii forum. Wewe unafikiri nchi kama israeli ingekuwa ina nchi kama hii ingekuwaje? Tubadilike sasa na tuanze kufanya juhudi kukomboa taifa letu na kuleta heshima yetu rafiki yangu.
Kuna watu hawana akili timamu kabisa.Wana upungufu mkubwa wa kutisha wa akili hadi inashangaza kabisa.Maneno haya yamenikera sana
"the fact that, Blacks look like human being ana ack like a human beings do not necessary make them sensible human".
Wewe ni mweusi?Ukweli mtupu
Sikubaliani na kila alichosema Botha juu ya blacks.Kwanza mtu hata haamini kama wewe ni binadamu,kwahiyo unapomwamini na wewe tayari ni kama una amini wewe si binadamu.Hilo tayari ni tatizo...Tena ndilo tatizo kubwa sana.
Ukishaamini kuwa wewe ni less of a human,mimi ninaye amini kuwa ni a sensible human being, sina haja ya kujadiliana nao.
Hakuna mweusi anayefurahia.Kufurahia hotuba ya Botha ni ujinga!
Give them guns and they will kill each other.
They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex...
most Blacks are vulnerable to money inducements. I have set aside a special fund to exploit this venue. ..
The old trick of divide and rule is still very valid today. Our experts should work day and night to set the Black man against his fellowman.
His inferior sense of morals can be exploited beautifully...
The average Black does not plan his life beyond a year..
Hebu jaribu kupitia kwa makini hiyo mistari ya kaburu Botha.As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman...
Hebu cheki avatar yako alaf jibu ni lini.........They are deadly Wrong ...!!
How long not long
Hebu cheki avatar yako alaf jibu ni lini.......
Mimi ni mwafrika lakini mtu hawezi kukubagua bila sababu ya msingi, ukibaguliwa jiulize kwanini unabaguliwa? Unajua utumwa umetusaidia sana kuwa na akili tuliyonayo sasa hivi? ama sivyo tungiendelea kuwa na vijumba vyetu vya udongo porini lakini sasa hivi tunauwezo wa kujikomboa zaidi kwa kufanya kazi na kujishughulisha katika kutafuta maarifa na uvumbuzi. Embu tembea barabarani angalia ni vitu vingapi vimegunduliwa na Mwafrika na kurahisha maisha ya binadamu? Mimi nafikiri hutuba yake tuichukulie kama changamoto na kufanya kazi zaidi pamoja na kufikiri ilituwaonyesha wazungu kwamba we are '' capable to revolutionalize the world'' . Mtu mjinga ili umsaidie apate akili ni kumtawala tuuu ili ajikomboe. Makaburi walipoingia south afrika kulikuwa hakuna kitu mapori tuu kama waingereza walivyokuja huku kwetu walituletea mwanga wa maarifa ingawaje in a very painful way.Hah hah hah ... Mkuu Nafikiri tunaelwana!!! Niruhusu swali lako nilijibu baadae...nisubirie mawazo ya wakubwa wengine!!
ahhahaaaaaaa my ribs...Hah hah hah ... Mkuu Nafikiri tunaelwana!!! Niruhusu swali lako nilijibu baadae...nisubirie mawazo ya wakubwa wengine!!
ahhahaaaaaaa my ribs...
Wil be waiting......
Umesikia wamarekani walivyoshabikia Martian shuttle ya Russia kwenda offcourse.... the first space exploration since the fall of Soviet.