UKWELI UNATESA NA DAIMA HAUTAFUTIKA
"By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence"
Nikiitazama selikali yetu ya CCM hakika inatupeleka pabaya kwa yafuatayo(Baadhi)
1. Hivi kweli no way yakutafuta vyanzo vingine vya mapato bali ni Sigara, pombe, soda? (Kwa nini nimsiongezi kodi ya mahoteli yaliyo mengi kandokando ya bahari hindi? Au kwa vile ni yenu?
2. Inakuwaje muwe mnapiga makelele tu bungeni(CCM) na tena kwa kenjeri kwa mambo ya maana kabisa kwa wananchi walio wengi mnayapinga ili kubebena kwa masilahi yenu binafsi?
3. Hamtaki hata siku moja reli ya kati ifufuke ili muendelee kusafirisha mizingo na watu kwa kutumia magari yenu? Hii ni kweli ili uwe tajiri lazima uwe kigogo CCM au serikalin kama siyo uisupport CCM!!
4. Mumehujumu ndenge za wananchi ili ndenge zenu zitumike kusafirishia mizingo na nynyi mfaidike. Hii siyo lazima uimiliki ndenge kwa aslimia 100 bali wengi wenu mmewalizamisha wawekezaji na nyinyi mwe na hisa!!
5. Hivi ni vegezo gani vilitumika kuzigawa campas za UDSM kama siyo siasa na nyinyi kupeana mashavu ili mtawale vizuri??
6. Wazungu wamewarubuni na kuwalazimisha mliondoe somo la historia mashuleni ili wadogo zetu na watoto wasijue historia ya nchi yao na ubaya wa hawa mnaoenda kuomba msaada kwao-Siasa za CCM na serikari yake ndo zimetufikisaha hapa
7. Elimu ya degree sasa haina thamani tena kwa sababu ya wendawazimu wetu(Laana hii alitupa Mwinyi), Mimi sikatai mtu asisome sana lakini si kunamitihani jamani serikari na mtu akifauru si ndiyo anatakiwa kuendelea na aliyefail kutafuta njia nyingine ya kujiendeleza, au mimi uelewa wangu ni mdogo kitu ambacho sikiamini!! Hii yote mmeifanya nyinyi ili vyuo vyenu vipate pesa na nyinyi kuneemeka na bodi ya Mikopo. Sasa mmeshiba hamtaki tena bodi itoe 100 asilimia hata kwa watoto yatima!!!!
8. Mlivipeleka wapi viwanda vyetu vilivyokuwa vyanzo vikubwa vya mapato??-Hii itabidi tumuulize Mkapa anayejiita Mtaalamu wa utandawazi na huku nchi yake ni Masikini
9. Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini watanzania wengi wanatumia simu za kichina na tena hazina ubora, hazidumu! ni nani hasa anaziingiza Tz??
10. Na kwa nini Dar Es Salaam watu wananjenga ovyovyo na selikari ya CCM haichukui hatua yakinifu ya kutatua tatizo hili?? Jibu ni dogo sana hapa ni Haithamini kizazi kichanga na kijacho.
Haya kumi yanatosha kwa leo, lakini jiulize, Kwa nini CCM wanateteana sana pale masilahi yao yanapoonekana kuguswa?? Kwa nini serikari haihimizi watu kupanda miti na huku inaona miti inavyoteketezwa na wengi waliomasikini, Madhara yake ni makubwa sana kwa kizazi kichanga na kijacho??
Na hii ndiyo maana ya sisi kuwa Low material of white Man
Sory kwa wataalamu wa kiswahili naweza kuwa nimekosea kuweka maneno vizuri
MNAHUJUMU INCH KWA MANUFAA YA KIZAZI CHENU-MUNGU HAPENDI HAYA NA ATAWAADHIBU