Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, thanks for sharing with us, hi hotuba niliisoma kwa mara ya kwanza mwaka 2005, mchango wangu ni hapo kwenye hilo neon Kaff*ir, hilo sio neon la Kingereza, ni neon la Kiafricaner (lugha mama ya makaburu) halina maana ya kafiri linalotumiwa na watu wa dini, hilo neon lina maana hi, "Kaff*ir is somebody with a head but NO brain inside; so ndio wanavyo tuona watu weusi, wanasema kwamba sie tuna vichwa lakini hatuna ubongo kichwani, au ule unaonekana upo tu kwa kujaza kichwa but haufanyi kazi ile ile unao fanya kwa watu wa rangi zao, wanasema pia, sie watu weusi kwa mwenye akili sana, anaweza aka plan jambo au kitu kwa muda wa miezi 12 tu, wana justfy pia kwamba, kwenye nchi zote zinazo tawaliwa na watu weusi hazina maendelea regarding umri zilizo nazo. Just sharing what I know from these peopleIsn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?
Mkuu, hiyo ni hotuba ya P. W Botha, alikua akilihutubia baraza la mawaziri baada ya uchaguzi wa mwaka 1985.Hapana. Si maneno ya Botha. Rais, hata Mbaguzi huyo, hawezi kutoa mhadhara mrefu ambao si hotuba ya kisiasa au namna ya kuendesha nchi, na badala yake alete 'a silly philosophical treatise to justify apartheid'. Ni watu wanayatunga na kusingizia wabaya wetu. Tumeshayasoma yanayodaiwa kuwa ya Hitler, Trump, n.k. Yana uzuri wa maonyo, lakini pia yana matusi kwa Waafrika na kutudhalilisha. Yanajitokeza mara kwa mara mitandaoni, nadhani kwa makusudi.
Ni kweli mkuu kama tutaweza kujieltea maendeleo yetu sisi wenyewe naamini tutahheshimika. sibishi kabisa waafrika wengi huwa hawapendi kuwaibika na wanapenda starehe kuliko kazi. Tujenge uchumi wetu na tuachane na tabia ya kuomba omba. Tujenge tabia ya uzalendo na kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe.
Nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha Economics of law, kinasema magereza ya US yamejaa black ambao kwa population ni wadogo. wengi wenye kesi za mauji ni weusi walioua weusi wenzao! Sasa kwa nini tusianzekupendana sisi kwa sisi?
I agree with Mr Botha!!!
Jamani naona aibu. Thread hii ni feki, si hotuba ya Botha. Nashangaa ni wachache tu wameitambua (Hongereeni!) na wengi ambao ama walisema "Uhuuu kweli kweli..." au kulia "mbaya huyu!!" (aibu yenu ya kutowasha ubongo na kutafakari wala kutafuta ukwelii!). Hakusema hata neno moja tunayoona hapa juu.Mkuu, hiyo ni hotuba ya P. W Botha, alikua akilihutubia baraza la mawaziri baada ya uchaguzi wa mwaka 1985.
NImefanya kazi na makaburu, hiyo hotuba wanaijua na hata hilo neon KAFFAR hata wao hua wanalitumia, nilipoona mleta UZI hajalitafsiri sawa sawa ndio nikaweka records vizuri, ninajua ninacho kisema. wale wenye umri kuanzi 45 and above na kama walikua wanafatilia sana habari za RTD Enzi hizo chini ya bwana David Wakati (the former CEO wa RTD )watakua wanamkumbuka huyu Peter W. Botha. Anyway, twendage hivyo hivyoJamani naona aibu. Thread hii ni feki, si hotuba ya Botha. Nashangaa ni wachache tu wameitambua (Hongereeni!) na wengi ambao ama walisema "Uhuuu kweli kweli..." au kulia "mbaya huyu!!" (aibu yenu ya kutowasha ubongo na kutafakari wala kutafuta ukwelii!). Hakusema hata neno moja tunayoona hapa juu.
Tumepelekwa maneno ya mshairi Mkenya David Maillu. Sijui alilenga nini kwa kutunga hotuba ya feki hii, basai nisiseme juu yake, kama alilenga kichekesho au nini...
Hali halisi Raisi Botha alitoa hotuba iliyoangaliwa sana wakati ule tarehe 15 Agosti 1985. Hotuba hii iliandaliwa na mawaziri wake kwa lengo la kutangaza kuachishwa kwa Nelson Mandela na kuanzisha mchakato wa kutafuta maelewano na harakati zilizopinga siasa ya Apartheid (ubaguzi wa kisheria Afrika Kusini). Siku chache kabla ya siku ya hotuba Botha aliwaambia mawaziri kwamba hatatumia matini iliyoandaliwa ataleta hotuba yake mwenyewe. Alitunga hotuba ya kinyume ya kutetea hali ya Afrika Kusini kuwa mafanikio na njia ya pekee inayowezekana.
Matini ya hotuba yake inapatikana kwenye tovuti ya Taasisi ya Nelson Mandela
ADDRESS BY STATE PRESIDENT P. W. BOTHA AT THE OPENING OF THE NATIONAL PARTY NATAL CONGRESS DURBAN, 15 AUGUST 1985 ["Rubicon" Speech]
Matokeo yake yalikuwa mabaya kwa sisa ya ubaguzi wa rangi. Maana nchi za magharibi waliacha matumaini kubadilisha hali ya afrika Kusini kwa kushirikiana na raisi huyu. Marekani na Ulaya waliongeza vizuizi vya biashara kw Afrika Kusini na uchumi ulishuka. Wanasiasa wa ndani ya chama chake Botha waisema "Hii ilikuwa siku ambako Apartheid ilianza kuporomoka". Soma hapa https://mg.co.za/article/2012-10-26-00-the-day-apartheid-started-dying
Hata hivyo Botha aliweza luendelea bado miaka hadi alipolaziishwa 1989 kuondoka madarakani na kumwachia nafasi F. W. de Klerk aliyeanza mara moja kutafuta maelewano na Mandela.
Angalia pia kuhusu hotuba halisi; https://en.wikipedia.org/wiki/Rubicon_speech
Rafiki, bila shaka watu wa Taasisi ya Nelson Mandela wanawajua makaburu kushinda wewe na mimi. Hao wametunza maneno halisi ya Botha (ambayo si maneno ya kufurahia). Tazama juu, unaweza kusoma link. Kama hujui Taasisi ya Mandela, basi waangalie hapa: https://www.nelsonmandela.org/content/page/the-teamNImefanya kazi na makaburu, hiyo hotuba wanaijua na hata hilo neon KAFFAR hata wao hua wanalitumia, nilipoona mleta UZI hajalitafsiri sawa sawa ndio nikaweka records vizuri, ninajua ninacho kisema. wale wenye umri kuanzi 45 and above na kama walikua wanafatilia sana habari za RTD Enzi hizo chini ya bwana David Wakati (the former CEO wa RTD )watakua wanamkumbuka huyu Peter W. Botha. Anyway, twendage hivyo hivyo
And you still worship this 'almighty' that cursed you? WTF?We had been cursed by our Almighty!
Hawakuwa weupe! Hamna nabii mweupendio maana mungu alimuumba adamu na eva niweupe. na ndio maana mitume na manabii kuanzia adamu nuhu ebrahimu ayoob elyas issa mohamad walikuwa weupe mungu akuchagua nabii au mtume mweusi ingekuwa balaa mtume huyo angeruhusu kufirana kuibiana kuuwa kudhulumu