jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Vipi wale babu zake mzee kilizi..wakina duly sykes na genge lao walitajwa?Oscar Kambona hajatajwa kwenye orodha ya wapigania uhuru
Hili hata mimi limenishangaza, kiukweli nilitegemea kitu tofauti kabisa kabisa!Hapana..kulikuwa kuna jambo nyeti na unusual RAIS alitaka kuhuhudia taifa, pengine alikuwa too emotional, sasa kuna watu wa karibu sana nae watakuwa walinusa hilo.
Kiufupi, raisi hakudhamiria kuzungumza alichozungumza.
thats what i can bet.
Jambo la kujiuliza:
RAIS alikuwa na udharula gani kuzungumzia aliyoyahutubia LEO?
huku KESHO ni siku ya kuadhimisha sherehe za uhuru, ambapo angekuwa wasaa mzuri wa kuhutubia nchi.
Kwamba hayo tuliyoambiwa leo, yalikuwa yana udharula gani kusemwa leo?
Nadhani hiyo heshima hana๐คฃ๐คฃ๐คฃ ni muhimu ufahamu wapi ulipotoka Maana ukwendapo hupajui...... Kusema hi hotuba sio, nafikiri huko.ni kumvunjia heshima kiongozi wa nchi.
Watakua wanamuonea mzee wa watumbona sioni wachangiaji wakisema ni kazi ya jk kama kawaida yao?!!!
VIchwa vya habari vya magazeti ya Wachumia Tumbo..๐Kesho magazetini
RAISI ANENA MAZITO.
habari kamili uk. 2
Ina maana ulitaka tuwe kama visiwa vya Barbados ndio juzi wameacha kutawaliwa na Malkia wa Uingereza?๐ฒKuna muda nawaza, Tanzania Tulipaswa kupata uhuru mwaka 2007 au 2008.
Sijui tulikuwa na Kiherehere cha kwenda Wapi?
Huwezi kuekelewa umezoea hotuba za kutukanwa na kusimangwa.Hadi sasa najiuliza kaongea nini, maana nimesikiliza ipa sijamuelewa
Mara vivuko vitatu, Mara sijui madarasa 100. Hebu nifafanulienj
Mamaa Bashite upo?Mkuu fanya tathimini. Nyerere was good, akaja Mwinyi nchi hoi, akaja mkapa akajenga, alivyokuja JK ohhhh wewe unajua (ingawa awamu zote kuna vitu walifanya lakini siyo priority na sustainable), na vipindi hivyo rushwa na kujuana na kurithishishaba familia. Alipokuja Dkt Magufuli wewe unajua. So Mama naye kaelekea kwa Mwinyi na Kikwete yaani full kuzuga Mama, haeleweki anataka kuitendea nini Tanzania.
hahahahahaaaaaaaaaaIla siku tukiaanza kukamatwa tutaisha mitaani, yaani Rais wa michongo ni box kabisa,๐๐๐๐๐
hahahaaaa . . na badoNimejutia muda wangu bora ningeangalia sinema zetu
heheheheeee . . . mi ningzima kabisa, bahati tu home hawakuwa na mimi sebuleni wangeipataNiliposikia Tz kuna uhuru wa habari na siasa,kwamba chaguzi zinafanyika huru na haki,nilibadili chanel....
Ulitaka meli ngapi vile!??? Kwa ajili ya shughuli gani, wakati Tanzania hatupigani vita!???Vipi wale babu zake mzee kilizi..wakina duly sykes na genge lao walitajwa?
Back to the topic..hotuba ilijaa matukio ya uhuru na tulipofikia..ila nilichoka kusikia mkoloni alituachia meli 6..miaka 60 ya uhuru sasahivi tuna meli 14..ina maana 60yrs tumeongeza meli 8 tu..huu ni upumbafu...ccm laana..wimbo wa maradhi..ujinga na umasikini bado unaibwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae kuambiwa huyo mtu ana shahada ya uzamili katika sayansi ya siasa.Kwahyo kuna mtu kalipwa hela ya posho kwa ajili ya kuandaa hotuba ile?? ๐ฎ