Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Asante kwa kumsikiliza Mhe. Rais. Isikilize tena na uisome pia ukiwa na akili chanya utamuelewa. Wewe raia mwema na msikivu ndiyo maana ulikimbilia kumsikiliza.
 
Reactions: Ame
Daah wabongo mnachosha!

Hotuba nzuri iliyounganisha awamu zote wenzetu bado hamkosi neno!
Hivi nini mnataka?

Wakati mwingine tunapokosa objectivity tutakuja kuwa watu waajabu sana huku duniani
 
Hata mimi nasubiri hotuba rasmi, hii ya sasa labda alikuwa anawahutubia wanafunzi wa sekondari!
 
ahsante sana Jpm, umeiandika historia,umeacha alama.Viongozi wenzio sasa tunajivunia.
 
Sijaona umuhimu wa hotuba hii imejaa makosa ya kitarakimu na kitakwimu na haina jipya

USSR
Hata miaka kuongezeka toka 37-67 hujaona?
Hujaona Watanzania kuongeza idadi ya wake wa kuoa toka mmoja hadi 4?
 
Binafsi niljua km itakuwa utopolo.. hana jipya kafanya maisha yamekuwa magumu magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…