Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Rais anayeficha madhaifu yake kupitia jinsia. Hapo ndio bado kunanishangaza

Tatizo anakubali kupelekeshwa Na Tanganyika nchi isiyo yake. Avunjilie huu uvamizi uitwao muungano arudi zake Zanzibar, tujenge nchie yetu iliyorudishwa nyuma Na Tanganyika kwa miaka Mia tatu.
 
Tanzania tumepigwa kwakweli, kifo cha yule mpendwa wetu bado wanatukumbusha machungu tuendelee kulia. Ni bora wangekaa kimya tu wasiseme chochote yaani.
Mtoa hotuba mimi simjui kama naye ni mweupe kama hotuba ilivyo..naona tulikuwa tunakumbushwa historia ya uhuru..amefanya vyema tu
 
Wale wapemba aliwajaza ikulu incompetent as ....

USSR
Kweli anafanya yale yale ya Magufuli kujaza Warundi na wanywaranda Ikulu . ama kweli Samia na Magufuli ni kitu kimoja
 
Acha ubaguzi. Rais kawataja wale 16 wote walioshirikiana na Nyerere kudai uhuru. Ulivyo na ghiliba kwenye maandishi yako umeruka kipengele hicho muhimu. Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa nchi kuwataja waru hao 16 hadharani.
Tuliaminishwa ni Nyerere tu aliyeleta uhuru.
Hao watoto wa class three primary wanasoma kwenye civic-moral

USSR
 
kesho. MAGAZETINI

RAISI ANENA
MAZITO
HABARI KAMILI
UK. 2
Eeh na magazeti yetu
20211208_114318.jpg
 
Alafu Kuna watu wanasema Polepole aache kumsema...

Mimi nitasimama na akina Bashiru na Mangula kwa sasa hatuna Rais
 
Nilikuwa zangu kwenye mishe za maisha, nilipoona wito wa watu kutakiwa kumsikiliza nikaharakisha sana shughuli zangu ili niwahi nijue Jambo.
Nimesikiliza na nimeangalia Ila mbona sijaelewa? Hii ndio kuhutubia taifa? Mbona hotuba ipo shallow sana?
Au saa 4 Kuna nyingine tusubiri?
Hadi sasa najuta kupoteza muda wangu
Umezoea hekaya na uongo wa mwendazake.. bora huyu anayeongea machache yule leo angesema sie ni dona kantri na reli&sgr tunajenga wenyewe.
Wabongo mnapenda sana sound na maneno mengi.
 
Back
Top Bottom