Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Kwa kweli sikutarajia kuisikiliza ila redio yangu pendwa ndio imeniponza...nilikuwa nasubiria kipindi cha sports xtra wakaunganisha juu kwa juu nikajikuta inaingia masikioni ...Aisee nimeumia saana aisee kwa niliyokuwa nasikiliza...bora wasingeifanyia promo vile
Mimi nilipomaliza Taarifa ya habari Azam nikaelekea sinema zetu.
 
hahahahahaha Aisee inaudhi sana wadau sijui alituloga nani wadanganyika
Hotuba lainiiiiiii kama gunia la pamba, Kwa style Hii tutaendelea kuimba mziki wa mabeberu Kwa kuomba msaada tujenge matundu ya vyoo mpaka mwaka 20500 huko!
Mfumuko wa bei yeye analeta ishu za kupandikiza mimba mambo ya wakina Wema sepetu

USSR
 
Mimi ndio maana niko Smart Pub napombeka na kuangalia mechi ya Chelsea na Zenith
 
Nimefuatilia hutuba ya Mh. Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa . Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...Kwa kifupi Hutuba ya Rais uzungumzia "current issues vis a vis mambo ambayo ameyafanya tayari wakati wa utawala wake kulinganisha na watangulizi wake na nini anatarajia kufanya zaidi....na sio kuja kutueleza idadi za madaktari na shule tulizokuwa nazo wakati wa kupata uhuru kulinganisha na leo...
Dah!
Hii ya leo kiboko.
Mother katoa boko ya kufungia mwaka.
Ni hotuba ya ovyo ovyo mnoo.
Tukubari tu, hapa hakuna rais, kuna kikarogosi cha ajabu.
 
Akihutubia taifa kwenye usiku wa kuamkia maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika, Rais Samia Suluhu Hassan amesema demokrasia yetu imezidi kuimarika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi.

Amesema kwa sasa Tanzania ina vyama vya viasa 19 vilivyosajiliwa na vyama 17 vipo kwenye mchakato wa kuomba usajili wa muda.

——————————————————————

PS: Hii idadi ya vyama vya siasa ni kubwa sana kwa nchi ya dunia ya tatu. Wingi wa vyama haimaanishi ndiyo demokrasia yetu iko juu.

Kama vyama vilivyosajiliwa havina uhuru wa kutekeleza majukumu yao kama yanavyoelezwa na katiba, basi sioni umuhimu wa kuongeza vyama vingine zaidi ambavyo vitakuwa ni vyama vya kwenye makabati.
Mwalimu aliviita UTITIRI WA VYAMA , !!
 
Huyu mama kapoteza credibility mapema sana, yaani hata mwaka hajafikisha
 
kiukweli mama katupiga na kitu kizito kichwani. binafsi sijamuelewa.
giphy.gif
 
Akihutubia taifa kwenye usiku wa kuamkia maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika, Rais Samia Suluhu Hassan amesema demokrasia yetu imezidi kuimarika tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi.

Amesema kwa sasa Tanzania ina vyama vya viasa 19 vilivyosajiliwa na vyama 17 vipo kwenye mchakato wa kuomba usajili wa muda.

——————————————————————

PS: Hii idadi ya vyama vya siasa ni kubwa sana kwa nchi ya dunia ya tatu. Wingi wa vyama haimaanishi ndiyo demokrasia yetu iko juu.

Kama vyama vilivyosajiliwa havina uhuru wa kutekeleza majukumu yao kama yanavyoelezwa na katiba, basi sioni umuhimu wa kuongeza vyama vingine zaidi ambavyo vitakuwa ni vyama vya kwenye makabati.
Halafu karibu 90% ya hivyo vyama ni matawi ya CCM, vipo kushabikia CCM na kupewa ruzuku kisiri siri kutokea CCM.
 
Back
Top Bottom