Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Sio yeye hata mawaziri wake hayahaya ,wanaboa sana

USSR
Wenzake kina Mkapa na JK walikuwa na utaratibu wa kuhutubia mwisho wa mwezi.Tulikuwa na utaratibu wa kutenga muda na kusikiliza hizo hotuba kwa shauku kubwa.Sasa huyu mambo aliyoyaongea mara nyingi anakuja tena kuyaongea hapa!
 
Jpm alikuwa anahutubia taifa akiwa field anakagua maendeleo na watu wakikuwa kila kona unasikia wametune viredio vyao wanamsikiliza mwamba akitema madini!

Huu ujinga wa kujifungia ikulu na kusema eti ndio unahutunia taifa mwishowe unaambulia aibu kama hivi.
 
Wenzake kina Mkapa na JK walikuwa na utaratibu wa kuhutubia mwisho wa mwezi.Tulikuwa na utaratibu wa kutenga muda na kusikiliza hizo hotuba kwa shauku kubwa.Sasa huyu mambo aliyoyaongea mara nyingi anakuja tena kuyaongea hapa!
Punguza chuki

Kila kiongozi na style yake
 
Kwa hotuba hii ya leo kuna mawili;
1. Rais amehujumiwa na waandaa hotuba.
2. Hatuna Rais

Kama jibu ni no.1 basi hitimisho ni no.2, na kama jibu ni no.2, basi hitimisho ni no.2.
Kesho magazetini
RAISI ANENA MAZITO.
habari kamili uk. 2
 
Acha ubaguzi. Rais kawataja wale 16 wote walioshirikiana na Nyerere kudai uhuru. Ulivyo na ghiliba kwenye maandishi yako umeruka kipengele hicho muhimu. Hii ni mara ya kwanza kwa rais wa nchi kuwataja waru hao 16 hadharani.
Tuliaminishwa ni Nyerere tu aliyeleta uhuru.
 
Back
Top Bottom