Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021




Mimi Chadema ila 2025 namchagua Samia,

Haya mambo kama sio Samia tungeyapata wapi?

Nampenda sana Rais Samia ana Mungu,
 
Taarifa mbaya sana hii kwa Wale wanangu wa Ufipa,

Rais ametoa speech ya mfano duniani,

Wale mliokuwa mnauliza nini faida ya Safari nadhani mmeelewa,

Samia ni habari nyingine kabisa kwa sasa,
swafiiiiii sana, wanaongojea mabalozi sijui wawakilishi mahakamani, wajue ni danganya toto tu.
ssh ni number nyingine, kila goti litapiga
 
Pumbafu kabisa wewe,
Yaani mpaka The Citizen wanaandika wewe unaona habari ndogo,
Namsipoangalia huyu mama atawatesa sana msimpenda
 
Mimi Chadema ila 2025 namchagua Samia,

Haya mambo kama sio Samia tungeyapata wapi?

Nampenda sana Rais Samia ana Mungu,
Mwaka 2025 ni zamu ya wanawake kuweka Rais wao. Hayo Samia aliwaambia wanawake wenzake.
Kama wewe ni mwanamke sawa .
Mimi binafsi Kama mwanaume mwaka 2025 nitampigia kura mgombea mwanaume tu
 
Mkuu hii message ni yangu au ya The Citizen?

Acha wivu mkuu,

Mama amefanya vizuri wacha tuseme,

Hata tukikaa kimya mawe yatasema,

Mtanisamehe ninaowakwaza sio mimi ni Samia anayefanya haya mimi nipo kuwapeni habari tu,



 
Wao wameiona ni bora,it's okay,the speeches favvors them,well done for her.bt kwa mm comrade Mugabe ndo alikuwa akitoa hotuba nzuri,kwa UN zilikuwa chungu kwao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…