Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Ni upuuzi kwa kuwa tupo kwenye janga zito la ukosefu wa umeme halafu mtu unatuletea za kuleta hapa,eti hotuba ya Rais imetuliza Watanzania,umeme upo,upo?Acheni kutumiwa ninyi.Watu hatukuelewi ujue.........!
Huyu mwanamke anaitwa mwashambwa tusichangie kabisa nyuzi zake.
 
Kumbe watu wanajua na kabila lako mzee kumbe ndio tabia yenu na mtakuwa ndivyo mlivyo na umebeba watu wengi unaowawakilisha poleni sana wewe na kabila lako.
 
Foolish
 
kwahiyo masuala ya DP WORLD ndio tumeshayasahau hivyo? au wamewatupa huko kimyakimya manake nilisikia wanatangaza mwekezaji bandari ya bagamoyo.
 
Pamoja na ahadi nzuri hizo, lakini serikali iwe na mkakati wa kutafuta vyanzo vingine mbadala vya Umeme kuliko kuendelea kutegemea maji! Swala la kukatika umeme naona ni la kila mwaka! Mvua zikikatika ndiyo tunaona ni yale yale yanajitokeza!
 
Punguza uzanzibar ajuza usiyejielewa

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Kwa "uzanzibari" unamaanisha Uislam? Maana mimi ni Mtanganyika zaidi yako, nilizaliwa kbala ya uhuru, wakati bado tunaitwa Tanganyika. Kwetu nilipozaliwa nilipoanza kuijuwa dunia ni Dar.

Hata Nyerere alipokelewa na wazee wetu wa Dar, hatukkuwahi kubaguwana kabisa. Jina la Dar Es Salaam lisingekuwepo kama wenyeji wa Mzizima wasingewakaribisha Wazanzibari na kuwapa ardhi ya kujengea chuo ambacho ndicho kiliitwa Dar Es Salaam ikimaanisha nyumba ya salama.

Wacha ubaguzi wa kijinga, au imani yako inakufundisha ubaguzi?
 
ajuza, hapa DSM wewe ulizaliwa wapi? au wewe ndio wale waliouza nyumba za urithi kariakoo?
 
ajuza, hapa DSM wewe ulizaliwa wapi? au wewe ndio wale waliouza nyumba za urithi kariakoo?
AlhamduliLlah, Mwenyezi Mungu awarehemu wazee wetu waliona mbali. Karikoo wala usiwe na shaka tuna majumba ya urithi tunakula ubia tu, tartiiib.

Wewe utakuja kufata mahitaji tu Kariakoo.

Usicheze na wazee wa Kariakoo, walimpokea mpaka nyerere na kaptura zake.
 
Unakilema chakujipendekeza ndugu Mwasambwanda
 
Bro utaweka sana hiyo namba ya simu, ila watateuliwa akina Mwanahamisi.
 
Hapo ulipoandika Rais wetu Mpendwa kipenzi cha wa Tanzania. Nadhani hata yeye akiisoma hii ataelewa dhahiri UNAJIPENDEKEZA KUPITA KIASI
 
FaizaFoxy naona umeamua kutudanganya kweupe kabisa. Eti umezaliwa kabla ya Uhuru🤣🤣🤣
 
Hahahaha . Na kelele zote hiz hata udiwan huna hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…