Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
{Ulicheza wapi chipukizi, wakati ule tunabebwa na mabasi ya bhesco kwenda uwanja wa taifa kuchapa gwaride nakumbuka nilichapa mguu wakati wa kutoa salute kwa mwl Nyerere kofia na kiatu kikavuka lakini nikachapa gwaride hivyo hivyo kikakamavu nakumbuka nilipatiwa zawadi, wewe Ulicheza chipukizi wapi?}Hiyo miezi sita ni pamoja na kuhakikisha kuwa mitambo yote inafanyiwa matengenezo mazuri na kufanya vizuri kazi.