Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Mpango wa serikali ni kuhakikisha tunapata umeme kwa kutumia vyanzo mbalimbali yaani kuanzia umeme unaotokana na maji,gas na jua.tunataka tuondokane na utamaduni wa kutegemea chanzo kimoja pekee cha maji ambapo inatutesa nyakati hizi ambazo mvua zimekuwa za shida na ukame umetawala sana maeneo mengi.

Suala la ukarabati wa mitambo ni jambo la muhimu sana kwa kuwa ubapo ikarabati mitambo unaifanya kuwa imara zaidi na yenye kudumu kwa muda mrefu.ni sawa na vyombo vya moto usipovifanyia service kwa muda mrefu unakuwa unaviua na kusababisha hasara kubwa sana na hatari kubwa mbeleni
 
[emoji107]
 
Kila siku naona barua za kuomba teuzi, na usinizoee sina ndugu mpumbavu, mzandiki, na Mjinga Kama wewe.
Watanzania wote sisi ni ndugu.ndio maana unaweza kusafiri na kufika ugenini na ukapokelewa vizuri kabisa wana wenyeji bila kujalisha umetokea wapi ndani ya Tanzania.sisi Ni wakalimu sana na huo ni msingi wetu unaoendelea kujenga umoja wetu watanzania.labda kama wewe ni mkimbizi au mhamiaji haramu ndio huwezi ukaelewa haya .
 

Mwenye akili ni aliyepokelewa na kaptura zake na akaja kuwa mtawala wao hao wazee wa K.koo na wao wakabakia kijisifia kumpokea
 
Ndugu zangu wana Buhigwe naomba kuuliza unawezaje kublock shudu na makapi ili usiwe unayaona kabisa yanapo postiwa na mtu humu ndani? Masada tafadhali.
 
biashara za hapo kariakoo nyingi ni za makafir, kwahiyo makafir wa kichagga na kikinga wamekuja kujenga majumba hayo kwa mkataba muwe mnakula ubia? si ndio? kumbe makafir ni watu wazuri na wa muhimu sana kwako.
 
Chawa! Rubbish
 
Una akili na upeo finyu sana, itoshe tu kusema wewe ni wale sifia sifia na waimba mapambio ya watawala
 

Sina undugu na wewe, na ma ccm yote
 
Amekueleza na sababu za kukaa muda mrefu bila kufanya matengenezo? Amekueleza sababu ya CCM kuwa na sera ya kuweka vyanzo vya Umeme upande mmoja? Unajua kusambaza gride ya umeme kutoka mtera hadi kanda ya ziwa gharama yake ni kubwa kuliko kujenga min power plant kanda ya ziwa?
 
Tokea nipo darasa la kwanza hii nchi inapambana na ukame
Mpaka leo unakaribia kustaafu bado inapambana na maadui umasikini,ujinga,maradhi,ukame,ufisadi.

Yaani miaka zaidi ya 60!!??
Halafu mtu aseme eti CCM ina dhamira ya dhati kututoa hapa tulipo!!??
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana. Japokuwa kulikuwa na matatizo ya umeme kipindi cha jpm lakini yaliongezeka mara tu Makamba na Maharage wslipoishiks hii wizara. Madai yao ya mwanzo kabisa juu ya makatizo ya umeme mara kwa mara yalikuwa ni urekibishaji wa miundombinu ambayo haikufanyiwa service muda mrefu. Kwenye hiyo unayoiita hotuba ya Samia antuambia sababu ileile tulioambiwa na Makamba miaka mitatu iliyopita.

Tangu serikali ya Kikwete kulikuwa na msisitizo wa matumizi ya gas na hatua kadhaa zilifanyika, hivyo serikali ya Samia hakuna jipya walilolifanya. Kawalea sana Makamba na Mwenzie walioonyesha wazi uwezo mdogo ktk kuendesha ile wizara, hivyo hawezi kukwepa lawama.

Hakuna mtanzania aliyesuuhuziika moyo na hotuba ya Samia kuhusu umeme hisipokuwa chawa kama wewe.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…