Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Mwakani mgao wa umeme unakwenda kubaki katika vitabu vya kumbukumbu na hata hao Kenya tutawauzia Umeme kwa bei nzuri tu.
Hata mwaka 2014 tuliambiwa kuwa gesi ya Mtwara ndiyo mwarobaini wa matatizo ya umeme.
Leo imepita takribani miaka 9,lakini wimbo wa matatizo ya umeme ni ule ule!
 
Mimi nikiona mtu anachanganya mambo ya msingi na Dini huwa namdharau sana.You people must be able to address issues without being dragged into religion.Hivi mnajua what religion is afterall.It is what it
is doing in you people,devide and rule by
our arch enemy Satan,it has nothing to do with God,be smart.

The following is what Satan has done to Muslims for example,he is never to be trusted.He has done so much damage to Christians too,but that is reserved for another day.


View: https://youtu.be/RTjNbT2-gmE?si=9rzlOOZJsr4oj39T
 
Hivi bado mnaami watanzania ni wajinga?
 
Hapana sijipendekezi bali naandika ukweli kuwa Rais samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania,ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watanzania wa kila rika na kila kundi
Kiufupi tu hata ingekuwa mimi ndiye Rais halafu unajipendekeza kiasi hiki hakika usingepata chochote kwangu iwe uteuzi au kazi maana unanipamba hadi ya uongo. Unaweza hata kuniambia MIMI NI MALAIKI JAPO SINA MBAWA. Hukatazwi kumsifia mtu ila WEWE UNACHOFANYA KINAONYESHA DHAHIRI UPO KIMKAKATI KUSHAWISHI MAMLAKA ZIKUFIKIRIE
 
Wewe
Kwani nani aliwakataza kujipatia umeme?

Umeme wa Tanesco ndio kama mlivyosikia leo.

Mimi nashangaa, mnaolalamika hamna matumizi zaidi ya kuchaji visimu vyenu na usiku kuwasha taa moja au mbili. Sijawasikia wenye viwanda kulalamika.
Wewe mama wengine tunakuheshimu humu ndani punguza shobo kwenye malalamiko ya wengi,
 
Hawa watu wa CCM kila kukicha ni usanii!
Waziri yule msanii alituambia ifikapo Aug, 2023 umeme kukatika ni historia!
Leo hii tunaambiwa ni mambo ya tabia nchi!
Kenya hawana mito au maziwa kama sisi na wanatumia umeme mwingi kuliko sisi, je wao wamefanyaje??
 


Hapo Leo ungekaa Tu kimya

Huna la kumtetea na ndio Sababu hata mwandiko wako wa Leo umepoa Sana na umeandika Kwa ufupi mno

Maswali ni mengi kuliko majibu

JPM alipoingia alipokea shida ya umeme kutoka kwa jk

Na awamu ya jpm yote hakukuwa na shida ya umeme sehemu yoyote

Magu amekufa na shida imerudi

Alichoongea Jana mama Samia ni kitu alikuwa anaongea January makamba alivyokuwa waziri

So kufanya service ya mitambo ni Jambo la kutake miaka 2

Walisema maji, mvua zikaja, wakasema service maika 2 ikapita now tena services Kwa miezi sita zaidi

Something is wrong somewhere
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.

Maintenance miaka 3? Tangu January makamba ameingia Alianza na maintenance, juzi tena mtu kapewa miezi sita zaidi duh

Na sio kwamba magu alikuwa hafanyi maintenance hapana, yy aliweza kuzuia wale wezi ambao wanapata faida Kwa shida za umeme

Very soon utasikia majenereta yameletwa ambayo ni mradi wa watu

Kwa hili Jambo la umeme ni Bora mkae kimya tu sio kila Jambo la kutetea
 

Miaka 3 na miez sita? Hata ww inakuingia akilini?
Jaman mambo mengine Sisi kama vijana wasomi basi tuwe tunawaza nje ya box

Na ww unaamini kabisa ni maintenance?

Miaka 3 maintenance gani?
 
Nchi haijamshinda ndio maana unaona mambo yanakwenda vizuri na tunaendelea kupata mafanikio katika kila eneo.uchumi wetu unaendelea kufanya vizuri na maisha ya watanzania yanaendelea kuboreka kwa kila mwenye kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa.

Umesikia wizi wa manispaa ya kigoma?
 
Miaka 3 na miez sita? Hata ww inakuingia akilini?
Jaman mambo mengine Sisi kama vijana wasomi basi tuwe tunawaza nje ya box

Na ww unaamini kabisa ni maintenance?

Miaka 3 maintenance gani?
Kwani hiyo miezi mingine umeme so ilikuwepo vizuri tuu? Sasa kama ulikuwepo utasemaje miezi miaka mitatu?
 
Kwani hiyo miezi mingine umeme so ilikuwepo vizuri tuu? Sasa kama ulikuwepo utasemaje miezi miaka mitatu?

Tangu awamu ya sita imeanza umeme ni shida umeme hauko stable na jibu ni moja Tu maintenance
 
Kipindi chote cha JPM kwa miaka 5+ kulikuwa na mafuriko ya mvua na mito kujaa? Hii 'laana' ya ukame tumeipata miaka hii miwili iliyopita?

Miundo mbinu ya umeme kama ingekuwa haikarabatiwi kwa miaka mitano yote tungemaliza miaka mitano bila shida ya umeme?

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa mama SSH ni mhandisi mbobevu? Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kutumia miundombinu ya umeme bila maintenance na umeme ukapatikana? Hii laana ya ukame imekuja baada ya mama kuwateua wateule wapya Tanesco na Wizara ya Nishati?[emoji22]

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…