Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Kinyerezi I, II, III na IV zote zinafanya kazi? Kama kuna ambazo hazifanyi waulize TANESCO kwanini?
 
Maintenance miaka 3? Tangu January makamba ameingia Alianza na maintenance, juzi tena mtu kapewa miezi sita zaidi duh....
Wewe unaongea kijinga kama mwendazake, watu wapo kwenye solar, wind na hybrid power storage hivi sasa, siyo vi jenereta uchwara.
 
Wewe unaongea kijinga kama mwendazake, watu wapo kwenye solar, wind na hybrid power storage hivi sasa, siyo vi jenereta uchwara.

Ww ndio ujui lolote pamoja na ukongwe wako humu ndani,

Exposure yako haijakusaidia anything

Na watu wa Aina yako ndio wanafanya viongozi watuonea wanainchi wote ni wajinga tu,

Hiyo ela ya kufanya hizi project za solar winds na hybrid power mnayo?

Nyie ndio mnadanganya watu serikali itauza umeme east Africa wakati humu ndani Tu ni kimbembe
 
Ww ndio ujui lolote pamoja na ukongwe wako humu ndani,

Exposure yako haijakusaidia anything

Na watu wa Aina yako ndio wanafanya viongozi watuonea wanainchi wote ni wajinga tu...
Mbona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango?

The Kishapu Solar Power Station is a proposed 50 MW (67,000 hp) solar power plant in Tanzania. The power station is under development by Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO), the national electricity monopoly utility company. The energy will be integrated into the national grid, also operated by TANESCO.
 
Hata mkataba wa tanzania kuuza umeme wa gesi east Africa ulishasainiwa

Unaangaika na maandishi haya?

Africa maandishi si kawaida Tu?

Kwenye maandishi pale mwenge kuna fly over

Kwenye maandishi Tanzania ni zaidi ya dubai
 
Uko wapi huo mkataba?
 
Uko wapi huo mkataba?

Ngoja nikutafutie,

Achana na mambo ya maandishi Kwa hizi inchi za Africa

Kuandika ni easy Sana but ground hamna kitu

Utakaa miaka 20 ujaona hiyo ishu ya solar ikiwa inafanya kazi

Umesahau Dr mwakyembe alishasaini mkataba wa umeme wa upepo singida?

Uko wapi huo umeme leo.?
 
Hata mkataba wa tanzania kuuza umeme wa gesi east Africa ulishasainiwa

Unaangaika na maandishi haya?

Africa maandishi si kawaida Tu?

Kwenye maandishi pale mwenge kuna fly over

Kwenye maandishi Tanzania ni zaidi ya dubai
Uko wapi huo mkataba?
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
Huyu sasa anajua ni kiboko kwa kutuletea mzee wa vingamuzi na mzee wa BRN

Mwisho wa siku anangaika nao mara TTCL, mara Posta masta, na yule wa BRN anampeleka wapi
 
Hotuba imewatuliza watu wasio na akili kamili na uwezo wa kuiona kesho
 
Yaani hata uongee mpaka asubuhi hakuna asiyejua kwamba ww Mwashambwa ni binadamu mwanamke wa kwanza kwa kuwa na ubongo mdogo kama wa nguruwe ndio maana huna hoja zaidi kuwa chama tu wa mama yako huyo.Endelea kusifia.
 
Attachments

  • Ins_-651006723.mp4
    3.6 MB
Mradi wa Kikwete wa Kinyerezi I, II, III IV kaukuta mpya kabisa (brand new). Hizo zikifanya kazi tatu tu, huna haja ya umeme wa maji.

Au umesahau? Kama hujasahau jiulize kwanini asifanye "maintanance" huko kwa miaka yake yote mitano?
 
Huyu sasa anajua ni kiboko kwa kutuletea mzee wa vingamuzi na mzee wa BRN

Mwisho wa siku anangaika nao mara TTCL, mara Posta masta, na yule wa BRN anampeleka wapi
Reconcile Resilience Reform and Rebuilding.

Ukiielewa falsafa hiyo hutopata shida.
 
Nonsense
 
Hapana sijipendekezi bali naandika ukweli kuwa Rais samia anapendwa sana na mamilioni ya watanzania,ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watanzania wa kila rika na kila kundi
Pamoja na kuonekana Poyoyo! Jifunze basi kuandika Jina lake kwa adabu ya herufi kubwa unajionyesha jinsi gani uko na akili ndogo! Kelele za chura!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…