Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Umejikagua ukaona unaona Mambo kwa jicho gani au huoni Mzee Luca ?
 
Ndugu yangu magari tu ya abiria kila linapofika mwisho wa safari lazima lifanyiwe matengenezo.sasa unafikiri inawezekanaje kwa mitambo inayofanya kazi kila siku kwa mwaka mzima isifanyiwe matengenezo walau mara moja kwa mwaka? Kumbuka ni bora ifanyiwe marekebisho kuliko ikaachwa hivyo hivyo na tatizo kijana kuwa kubwa na la gharama kubwa huko siku za mbele na hivyo kuleta athari katika upatikanaji wa umeme.
 
Ukame hauletwi na serikali yetu bali ni mabadiliko ya hali ya hewa .ndio maana serikali nayo inabadilika kulingana na wakati kama unavyoona sasa serikali inaamua kuanza kutumia vyanzo vingine kama vile gas na jua ili umeme uwepo.
Khaaa...

Kwahiyo Miaka yote hamkuwa na Maarifa ya kubadilika?.


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Unajipendekeza hadi aibu? Hotuba imeleta umeme?
 
Kenya wana Wind farming huko Kajiado na kule Turkana lakini sisi tumekalia hydropower wakati huu wa mabadiliko ya tabia nchi
Mwakani mgao wa umeme unakwenda kubaki katika vitabu vya kumbukumbu na hata hao Kenya tutawauzia Umeme kwa bei nzuri tu.
 
Nadhani haelewi umuhimu wa Umeme.

Kwa Miezi 6 ya Upungufu wa Umeme uchumi utakuwa Chali.... kifo cha Mende.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Unajipendekeza hadi aibu? Hotuba imeleta umeme?
Hotuba imewapa matumaini watanzania kwa kuwaeleza mikakati na mipango ya serikali katika kumaliza changamoto ya umeme.lakini pia hotuba ya mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania imeelezea ni kwa muda gani tatizo hilo litakuwa historia hapa nchini.
 
Nikidhabi wewe ni chawa lakini nimeona sasa pasina shaka yeyote unaratibu anguko zuri kwa Hangaya.

Wanakuona mwenzao kumbe loh, unawskaanga kitaalam sana
 
Nadhani haelewi umuhimu wa Umeme.

Kwa Miezi 6 ya Upungufu wa Umeme uchumi utakuwa Chali.... kifo cha Mende.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hiyo miezi sita siyo kwamba umeme utakuwa haupatikani bali ndio mwisho wa changamoto za umeme hapa nchini.kumbuka ndani ya hiyo miezi sita Tayari mvua zitakuwa zimeanza kunyesha na hivyo Kina cha maji kitakuwa kimeongezeka katika mabwawa yetu na kuongeza uzalishaji wa umeme. Lakini pia wakati huu ambao mvua bado hazijaanza kunyesha serikali yetu itaendelea kutumia vyanzo vingine vya kuzalisha umeme, kama vile gas na jua.
 
Ume

Shetani ameandika ushetani kwa Watanzania. Joka la kijani. Mungu chukua shetani huyu haraka. Shetani kaleta ujinga kwa Watanzania. Kama ni mvua na ukarabati wa mitambo kwanini kamtoa waziri na mkurugenzi? Yamefilisi shirika na kuhujumu leo yanakuja na maneno mepesi. Aibu yako shetani wewe uliyelaaniwa na mwenyezi mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…