Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mama Abdu angekuwa mzalendo angeborosha Bima ya afya ili wagonjwa wa akili watibiwe kirahisiTutamwambia hospitali mpya anazojenga asisahau wadi za magonjwa ya akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Abdu angekuwa mzalendo angeborosha Bima ya afya ili wagonjwa wa akili watibiwe kirahisiTutamwambia hospitali mpya anazojenga asisahau wadi za magonjwa ya akili.
Hapana mimi nafanya kazi kwa uzalendo na siyo kwa ajili ya kusaka uteuzi.sisi sote hatuwezi kuwa viongozi ,hivyo tusio viongozi tuna mchango kwa taifa letu.Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe angekuteua basi angalau uwe mkuu wa wilaya
Makali ya umeme yanatulizwa kama alivyofanya Rais samia kwa kueleza kwanza chanzo cha Tatizo, muda wa kukabiliana na tatizo pamoja na Mikakati na mipango ya serikali kumaliza Tatizo. Ambapo Chanzo kimeelezwa,muda wa kukabiliana nayo imeelezwa pamoja na njia za kumaliza changamoto imewekwa wazi kabisa .Kwahiyo makali ya mgao wa umeme yanatulizwa kwa hotuba? Amesema nini kipya?
Alisema itachukua miaka mitano kazi ya kuweka sawa miundombinu ya umeme. Hilo umelisahau?
Hana bahati huyoUlipotea naona umeibuka tena, tulizani umebahatika kumbe bado?
Hiyo miezi sita ni pamoja na kuhakikisha kuwa mitambo yote inafanyiwa matengenezo mazuri na kufanya vizuri kazi.Miezi sita si ndo tumeingia masika kabisa
Uwe na subira ndani ya muda mfupi changamoto hii inakwenda kuisha ,ndio maana hata sasa mgao siyo mkali sana kutokana na kazi inayoendelea kufanywa na serikali yetu katika kuhakikisha kuwa inatumia vyanzo vingine kuzalisha umeme,.Hivyo kufanya shughuli mbalimbali zinazotegemea umeme zisiathirike sana. Rais wetu ina tambua changamoto ya umeme ndio maana leo amelieleza ukweli Taifa na mikakati ya serikali yetu katika kulimaliza Tatizo hili.
Hapana mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu.
Nyamaza muhuni mkubwaNjaa zitawauwa machawa nyie
Pesa tunaendelea kutafuta ndugu yangu.Ndio maana tunaendelea na kazi ya kilimo kujipatia chakula na Ziada ya kuuza kwa ajili ya mahitaji mengine muhimu.
Kilimo unakijua wewe ..mwanaume mzima kutwa mtandaoni kutetea ujinga ujinga ..jitafakari real men hawezi kuwa chawa .Pesa tunaendelea kutafuta ndugu yangu.Ndio maana tunaendelea na kazi ya kilimo kujipatia chakula na Ziada ya kuuza kwa ajili ya mahitaji mengine muhimu.
Ndio kilimo nakifahamu na nimeishi kwa kilimo kwa miaka mingi na naendelea kukipenda kilimo.Kilimo unakijua wewe ..mwanaume mzima kutwa mtandaoni kutetea ujinga ujinga ..jitafakari real men hawezi kuwa chawa .
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
Njaa mbaya sana mna push anajenda Kwa 20 ..umeme mdogo kichwani .Ndio kilimo nakifahamu na nimeishi kwa kilimo kwa miaka mingi na naendelea kukipenda kilimo.