Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Kwakweli tukimuongezea na wapiga millioni mbili wa bure anachukua urahisiiii mapemaa.
 
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
Hata sasa Le mutuz na cyprian Musiba walichukua pesa CCM juzi kwa kisingizio cha kwenda kumroga ashindwe kuzungumza leo, huko CCM wajanja wanapiga pesa kwa kisingizio cha kumnyong’onyesha Tundu lisu, umekuwa mradi mkubwa
 
Hongera yako kwa kuonesha namna ulivyo zumbukuku
 
Hakika nitamigia ndugu Lissu kura yangu mapema asubuhi.
 
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
CCM inaweweseka watengeneza propaganda sasa wapo busy kutengeneza kila uongo kuwa Tundu lisu anafadhiliwa na wazungu na hizo propaganda za kishamba zitaandaliwa na wajinga wajinga kama akina cyprian Musiba na Le mutuz utazani CCM imekosa wenye Akili mpaka kuwategemea hao kutengeneza propaganda
 
Kwa miaka mitano hii nchi yetu inamabadiliko makubwa mno. Zama za Jakaya Kijana wa mchepuo wa ualimu alikua akihitimu chuo,yeye ni moja kwa moja kuingia katika utumishi wa umma.
Sasa enzi hizi tena wakisema wanakusanya zaidi vijana hawa sasa ni bodaboda na wachoma mahindi mabarabarani. Nitakupigia kura yangu ndugu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…