Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Katika hali ambayo wengi hatukuitarajia, Mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Tundu Lisu ameweka rekodi mpya ya kuvutia watazamaji zaidi ya 750,000 kupitia ukurasa wa FACEBOOK walioweza kujiunga moja kwa moja. Hui inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na shauku za kumsikiliza.

Hii ni dalili tosha kuashiria nini tukitegemee siku zamyśleni.
Kwakweli tukimuongezea na wapiga millioni mbili wa bure anachukua urahisiiii mapemaa.
 
Hata mtu asome vipi akiingia CCM tu Akili zote humtoka na kubakia kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa
.
FB_IMG_1589682992908.jpg
 
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
Hata sasa Le mutuz na cyprian Musiba walichukua pesa CCM juzi kwa kisingizio cha kwenda kumroga ashindwe kuzungumza leo, huko CCM wajanja wanapiga pesa kwa kisingizio cha kumnyong’onyesha Tundu lisu, umekuwa mradi mkubwa
 
Hongera yako kwa kuonesha namna ulivyo zumbukuku
Unajipunguzia heshima kurejea madai yale yale kila mara kama kasuku. Hoja iliyopo ni nia ya Lissu kugombea Urais kwa hoja zake hizo.

Kuhusu madai yako hayo, kuna tofauti kubwa kati ya CCM na CHADEMA. Wakati CCM ina uthibitisho kuwa zaidi ya 85% ya ahadi zilizo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 zimetekelezwa, CHADEMA ina nini zaidi ya kuwalaghai wabunge wake kuchangia maaendeleo ya chama kumbe wananufaisha mtu mmoja.

Hakuna shaka CHADEMA watakuwa na wakati mgumu kujitetea mbele ya wapiga kura na vigumu zaidi kumnadi Lissu iwapo watamsimsmisha kama mgombea wako. Kuna ushahidi ulio wazi kuwa Lissu alilitelekeza jimbo lake la uchaguzi ambalo liko nyuma kabisa kimaendeleo katika nchi hii. Huyu mtu kweli ndiye wa kumpa uongozi wa nchii hii? Du, hakika akutukaye hakuchagulii tusi, wahenga walinena.
 
Hakika nitamigia ndugu Lissu kura yangu mapema asubuhi.
 
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
CCM inaweweseka watengeneza propaganda sasa wapo busy kutengeneza kila uongo kuwa Tundu lisu anafadhiliwa na wazungu na hizo propaganda za kishamba zitaandaliwa na wajinga wajinga kama akina cyprian Musiba na Le mutuz utazani CCM imekosa wenye Akili mpaka kuwategemea hao kutengeneza propaganda
 
Katika hali ambayo wengi hatukuitarajia, Mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Tundu Lisu ameweka rekodi mpya ya kuvutia watazamaji zaidi ya 750,000 kupitia ukurasa wa FACEBOOK walioweza kujiunga moja kwa moja. Hui inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na shauku za kumsikiliza.

Hii ni dalili tosha kuashiria nini tukitegemee siku zamyśleni.
Kwa miaka mitano hii nchi yetu inamabadiliko makubwa mno. Zama za Jakaya Kijana wa mchepuo wa ualimu alikua akihitimu chuo,yeye ni moja kwa moja kuingia katika utumishi wa umma.
Sasa enzi hizi tena wakisema wanakusanya zaidi vijana hawa sasa ni bodaboda na wachoma mahindi mabarabarani. Nitakupigia kura yangu ndugu Lissu.
 
Back
Top Bottom