Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza niaLissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza niaLissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?
Kwakweli tukimuongezea na wapiga millioni mbili wa bure anachukua urahisiiii mapemaa.Katika hali ambayo wengi hatukuitarajia, Mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Tundu Lisu ameweka rekodi mpya ya kuvutia watazamaji zaidi ya 750,000 kupitia ukurasa wa FACEBOOK walioweza kujiunga moja kwa moja. Hui inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na shauku za kumsikiliza.
Hii ni dalili tosha kuashiria nini tukitegemee siku zamyśleni.
.Hata mtu asome vipi akiingia CCM tu Akili zote humtoka na kubakia kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa
Labda rais wa mashoga
Hata sasa Le mutuz na cyprian Musiba walichukua pesa CCM juzi kwa kisingizio cha kwenda kumroga ashindwe kuzungumza leo, huko CCM wajanja wanapiga pesa kwa kisingizio cha kumnyong’onyesha Tundu lisu, umekuwa mradi mkubwaWalio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
Unajipunguzia heshima kurejea madai yale yale kila mara kama kasuku. Hoja iliyopo ni nia ya Lissu kugombea Urais kwa hoja zake hizo.
Kuhusu madai yako hayo, kuna tofauti kubwa kati ya CCM na CHADEMA. Wakati CCM ina uthibitisho kuwa zaidi ya 85% ya ahadi zilizo kwenye Ilani ya Uchaguzi 2015 zimetekelezwa, CHADEMA ina nini zaidi ya kuwalaghai wabunge wake kuchangia maaendeleo ya chama kumbe wananufaisha mtu mmoja.
Hakuna shaka CHADEMA watakuwa na wakati mgumu kujitetea mbele ya wapiga kura na vigumu zaidi kumnadi Lissu iwapo watamsimsmisha kama mgombea wako. Kuna ushahidi ulio wazi kuwa Lissu alilitelekeza jimbo lake la uchaguzi ambalo liko nyuma kabisa kimaendeleo katika nchi hii. Huyu mtu kweli ndiye wa kumpa uongozi wa nchii hii? Du, hakika akutukaye hakuchagulii tusi, wahenga walinena.
CCM inaweweseka watengeneza propaganda sasa wapo busy kutengeneza kila uongo kuwa Tundu lisu anafadhiliwa na wazungu na hizo propaganda za kishamba zitaandaliwa na wajinga wajinga kama akina cyprian Musiba na Le mutuz utazani CCM imekosa wenye Akili mpaka kuwategemea hao kutengeneza propagandaWalio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
wapiga nini sasa mk#nd* auKwakweli tukimuongezea na wapiga millioni mbili wa bure anachukua urahisiiii mapemaa.
Anatangaza ubelgiji?Walio taka kumuua ndio waoga angekuwa muoga hata asingetangaza nia
Anatangaza ubelgiji?
MUNGU atende miujiza kwa nn MUNGU hasikii kilio chetu?Ya kupita bila kupingwa
Kwa miaka mitano hii nchi yetu inamabadiliko makubwa mno. Zama za Jakaya Kijana wa mchepuo wa ualimu alikua akihitimu chuo,yeye ni moja kwa moja kuingia katika utumishi wa umma.Katika hali ambayo wengi hatukuitarajia, Mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Tundu Lisu ameweka rekodi mpya ya kuvutia watazamaji zaidi ya 750,000 kupitia ukurasa wa FACEBOOK walioweza kujiunga moja kwa moja. Hui inaonyesha ni jinsi gani wananchi walivyokuwa na shauku za kumsikiliza.
Hii ni dalili tosha kuashiria nini tukitegemee siku zamyśleni.
Huyu ndiye Rais ambaye nchi hii imemtafuta kwa miaka yote .
😂😂😂😂MUNGU atende miujiza kwa nn MUNGU hasikii kilio chetu?