Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Waitu kyoma hakuna nyongeza hapo fanya urudi.
 
Yeye akiyanadi hayo anayosema, hawezi maliza miaka 5, je yuko tayari?
 
Ukitaka kunywa sumu
 
Afadhali watoto wadogo wanatumiaga akili za kuzaliwa nazo kuliko nyinyi uvccm
Bwashee hivi hapa jukwani unafikiri pana watoto wadogo sana.?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuhusu kuhamia Dodoma sijasikia, atarudisha makao makuu Dar?
 
Wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera
Mmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!
 
"Fungo wa Kimataifa"

"Sisi tuendelee kujifanya kisiwa katika bahari pana ya mahusiano ya diplomasia ya kimataifa,? au tutajirudi na kutambue kwamb sisi ndiyo tunaihitaji dunia kuliko dunia inavyotuhitaji sisi".

Nimesikiliza hotuba yote mwanzo mwisho, nimesoma hotuba yake mwanzo mwisho inatosha kusema kuwa watanzania wanamuhitaji zaidi Lisu kuliko Lisu anavyowahitaji watanzania.

Mungu ibariki Tz, Mungu ibarika Afrika.
 
Hopeless labda unamhitaji wewe lakini siyo watz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…