Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaMwanzo wa safari mpya ndugu Tundu Lissu.
Nakutakia mafanikio katika juhudi zako hizi.
Yeye akiyanadi hayo anayosema, hawezi maliza miaka 5, je yuko tayari?Of course hayawezi kuwa ya kweli kwa mtu mwenye uelewa mdogo kama wako.
Nchi sio mali ya Rais, ni ya waTanzania. Hilo ndilo gumu kwako kulielewa na kukufanya uonekane kioja.
Watu kama wewe mpo wengi ndani ya nchi hii, na limekuwa tatizo kubwa sana kwetu sote.
Big up makamu mw/kiti
Nafarijika sasa kusikia saut ya matumain baada ya pambano kuu.
Uyu aliyesema Tanzania tutashtakiwa MIGA!!Uyu aliyekua akishawiahi wananchi wa jimbo lake wasichangie ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara!!! Uyu aliyesema Mwalimu Nyerere ni Dikteta!! Uyu aliye lamba viatu vya Lowasa!! Una maanisha Tanzania ilikua ikimsubiri yeye ili ipae? Chadema imeamua kuwa tusi wa Tanzania, basi wananchi tunasema Asante , tukutane kwenye sanduku la kura.
Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Bwashee hivi hapa jukwani unafikiri pana watoto wadogo sana.?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Atakuja ndiyo maana ameshajiandaa endapo atapitishwa na chama chakeAje sasa kama anajiona shujaa. Anasubiri nini?
Porojo.Atakuja ndiyo maana ameshajiandaa endapo atapitishwa na chama chake
Atausikia tu huo Urais! Kamwe hatuwezi kuongozwa na msaliti wa nchi yetu! Go to hell!Rais wa matakwa ya wananchi 2020~2025
Mpeni urais wa Saccos ya ChademaTunasubiri kwa awamu
Labda kwenu!Lissu ni genius kwa kweli....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwaka huu lazima utachanganyikiwa sana.Afadhali watoto wadogo wanatumiaga akili za kuzaliwa nazo kuliko nyinyi uvccm
Najijengea kinga ya kutoathiriwa na wewe makaswendeSasa unafaidikaje na hiyo lugha ya ufipa?
Mmmmh.. yaani nyinyi wanasaccos nafikiri kwenye vichwa vyenu hamna akili kabisa kuna makamasi tu. Yaani Tundu awe Rais wa Tanzania kama ameshindwa Lowassa!! Ngoja apate pesa za wajinga!Wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Hopeless labda unamhitaji wewe lakini siyo watz!"Fungo wa Kimataifa"
"Sisi tuendelee kujifanya kisiwa katika bahari pana ya mahusiano ya diplomasia ya kimataifa,? au tutajirudi na kutambue kwamb sisi ndiyo tunaihitaji dunia kuliko dunia inavyotuhitaji sisi".
Nimesikiliza hotuba yote mwanzo mwisho, nimesoma hotuba yake mwanzo mwisho inatosha kusema kuwa watanzania wanamuhitaji zaidi Lisu kuliko Lisu anavyowahitaji watanzania.
Mungu ibariki Tz, Mungu ibarika Afrika.