Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Yeye akiyanadi hayo anayosema, hawezi maliza miaka 5, je yuko tayari?
Kwa nini asimalize miaka mitano, unauliza swali hili kwa kukosa kuelewa maana nzima ya utawala bora, unaoheshimu katiba, taratibu, haki za watu na sheria zinazoiongoza nchi.
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
 
Sasa atawezaje kufanya kampeni wakati: a) Akirudi tu anahitajika kujibu shataka la kuruka bail, B) Akishindwa hapo jela inamhusu, C) Mawakili wake itabidi wampiganie au makuwadi wake kutoka Ulaya, D) Itategemea hiyo kesi ya rufaa itafanyika baada ya muda gani?

The guy is a day dreamer like chadema and Mbowe. Angalau Mbowe yeye anangalia pesa zaidi maana utajiri wake umetokana na uwezo mkubwa wa kudaganya. Kwa zaidi ya miongo kumi anawakaba wabunge wa Chadema na members kumchangia, yaani hata akistaafu leo ameisha jilimbikizia utajiri wa kutosha.
 
Kimsingi huyu jamaa hana ajenda yeyote.
Lakini ni kuwa ni haki yake kugombea,napenda kumshauri jambo moja kubwa.
Mosi, apunguze ujuaji mwingi usiomsaidia. Mfano,kumkashifu Nyerere bungeni haikuwa good move kwake na wenda ndio ilimgharimu. Ajikite kwenye hoja mbadala na kama hilo kwake litakuwa gumu basi chama chake kihusike kum-brand ajiite sana kujenga hoja mbadala watanzania wamwelewe. Zile tambo za kukashifu watu hasa opponents wake hazitampa credit.
Pili, asiwe too emotional kuelekea azma yake ya kupata kura za watanzania, hana haja sana yeye kama mgombea kuchafua watu na kuponda hasa anapouza ajenda au sera zake. Wawepo wetu wengine kufanya hivyo yeye ajikite katika ajenda na sera,kwa kufanya hivyo atapata uungwaji mkono wa makundi yote na public sympathy na atapata kura.
Tatu, chadema kama wataweza waifanyie review ya ilani yao ya mwaka 2010 ambayo aliitumia Dr. Slaa watoe au waboreshe baadhi ya sera waitumie mwaka huu.
Kila la heri CHADEMA.
 
Kitendo cha kutangaza tu nia akiwa nje ni dharau kwa watanzania. Huyu ana anguko moja kubwa sana.
 
Sikutegemea Kama Tundu lissu Leo ataongea utopolo huu,
Nanukuu: "Magufuli kataifisha na kuwashtaki wafanya biashara wengi nchini ili apate pesa za kujengea miundo mbinu yake"
Swali je Ni kosa kuwashughulikia mafisadi?

Je nikweli miundo mbinu yote iliyojengwa awamu hii ina munufaisha Rais Magufuli pekee? Je haya maji, hospital, umeme, barabara na n.k wanazotumia wananchi zimetoka Wapi?

Mtazamo wangu; kwenye hiyo hotuba ya TL Kuna mambo sahihi lakini utopolo ndo mwingi na kwa maana hiyo naomba kutoa msimamo wangu rasimi LISSU SIWEZI KUMPIGIA KURA YANGU YA URAIS,,

And I'm telling you guys go anywhere, everywhere and elsewhere Magufuli will Winn the election on 25oct2020. Save the date.
 
Hotuba mujarabu imejaa nondo za kufa mtu ,mwenye IQ ziro hawezi kuandaa Wala kuandika vitu kama hivi.
 
Sikutegemea Kama Tundu lissu Leo ataongea utopolo huu,
Nanukuu: "Magufuli kataifisha na kuwashtaki wafanya biashara wengi nchini ili apate pesa za kujengea miundo mbinu yake"
Swali je Ni kosa kuwashughulikia mafisadi?

Je nikweli miundo mbinu yote iliyojengwa awamu hii ina munufaisha Rais Magufuli pekee? Je haya maji, hospital, umeme, barabara na n.k wanazotumia wananchi zimetoka Wapi?

Mtazamo wangu; kwenye hiyo hotuba ya TL Kuna mambo sahihi lakini utopolo ndo mwingi na kwa maana hiyo naomba kutoa msimamo wangu rasimi LISSU SIWEZI KUMPIGIA KURA YANGU YA URAIS,,

And I'm telling you guys go anywhere, everywhere and elsewhere Magufuli will Winn the election on 25oct2020. Save the date.
Mahakama imewakuta na hatia?
 
Kimsingi huyu jamaa hana ajenda yeyote.
Lakini ni kuwa ni haki yake kugombea,napenda kumshauri jambo moja kubwa.
Mosi, apunguze ujuaji mwingi usiomsaidia. Mfano,kumkashifu Nyerere bungeni haikuwa good move kwake na wenda ndio ilimgharimu. Ajikite kwenye hoja mbadala na kama hilo kwake litakuwa gumu basi chama chake kihusike kum-brand ajiite sana kujenga hoja mbadala watanzania wamwelewe. Zile tambo za kukashifu watu hasa opponents wake hazitampa credit.
Pili, asiwe too emotional kuelekea azma yake ya kupata kura za watanzania, hana haja sana yeye kama mgombea kuchafua watu na kuponda hasa anapouza ajenda au sera zake. Wawepo wetu wengine kufanya hivyo yeye ajikite katika ajenda na sera,kwa kufanya hivyo atapata uungwaji mkono wa makundi yote na public sympathy na atapata kura.
Tatu, chadema kama wataweza waifanyie review ya ilani yao ya mwaka 2010 ambayo aliitumia Dr. Slaa watoe au waboreshe baadhi ya sera waitumie mwaka huu.
Kila la heri CHADEMA.
Kauli za kuita watu MASISIEMU, huwezi msikia mgombea mwenye busara akitumia majina ya ajabu. Hii itamgharimu ila bavicha watabisha.
 
Brother inaonekana hujui kuchambua hotuba za Wanasiasa na Watu makini! Hii ni kutangaza nia tu siyo kampeni ya Urais. Kwa sheria na taratibu mgombea Urais akishateuliwa na Chama chake ndipo atatangaza Sera na Ilani ya Chama chake.
Kuhukumu Sasa hivi eti hajaongea sijui kuhusu Uchumi, Elimu, Afya etc ni kuonesha hujielewi. Muda bado sana ni hapo Oktoba mbichi na mbivu zitajulikana!
Unatangazaje nia kwa kutoa tuhuma za uongo dhidi ya viongozi walioko madarakani!!? Watanzania wa leo siyo wale wakuambiwa uongo na wakaukubali tu kizuzu. La asha!

Ukweli, Lissu anawapa shida sana ninyi mnao mtetea, maana ni vigumu sana kumtetea mtu anayezusha mambo bila hata na ushahidi wa kukinga 'uzushi' wake. Kwa nyakati hizi Lissu alitakiwa kutulia na kuchagua maneno ya kuwaambia mashabiki wake kimkakati. Lakini wapi, kaipoteza nafasi hiyo adhimu.

Binafsi, nao first impression ya Lissu kuonyesha nia kwenye nafasi anayoihitaji kibinafsi zaidi kuliko kimaslahi mapana ya nchi imemuangusha vibaya sana. Mashabiki wake, ukubalini ukweli huu ingawa ni mchungu.
 
Mtasubiri sana nyinyi naona hata hamuwaelewi viongozi wenu walishawaambia kuwa mkishindwa kupata nchi 2015 itachukua 50 years kujipanga tena kuja na mikakati ya kuchukia nchi. Hivyo subirini baada ya miaka 50 kama mlivyoambiwa na viongozi wenu.
Soma graph tangu 1992 inapanda au inashuka utapata jibu.
Kilikufa Kanu na Kenya inasonga sembuse,chama kinachobebwa na polisi
 
Unatangazaje nia kwa kutoa tuhuma za uongo dhidi ya viongozi walioko madarakani!!? Watanzania wa leo siyo wale wakuambiwa uongo na wakaukubali tu kizuzu. La asha!

Ukweli, Lissu anawapa shida sana ninyi mnao mtetea, maana ni vigumu sana kumtetea mtu anayezusha mambo bila hata na ushahidi wa kukinga 'uzushi' wake. Kwa nyakati hizi Lissu alitakiwa kutulia na kuchagua maneno ya kuwaambia mashabiki wake kimkakati. Lakini wapi, kaipoteza nafasi hiyo adhimu.

Binafsi, nao first impression ya Lissu kuonyesha nia kwenye nafasi anayoihitaji kibinafsi zaidi kuliko kimaslahi mapana ya nchi imemuangusha vibaya sana. Mashabiki wake, ukubalini ukweli huu ingawa ni mchungu.
Kina wachache sana watakuelewa humu jf, ila mtaani utaeleweka kwa wengi.
 
Back
Top Bottom