mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Safi sana sisi mtaani huku kazi yetu ni 1 tu kuwaeleza walemavu CCM haihitaji kura zao 2020.Hopeless comment. Nimesema mlemavu Lissu changanya akili baai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana sisi mtaani huku kazi yetu ni 1 tu kuwaeleza walemavu CCM haihitaji kura zao 2020.Hopeless comment. Nimesema mlemavu Lissu changanya akili baai
Kwa nini asimalize miaka mitano, unauliza swali hili kwa kukosa kuelewa maana nzima ya utawala bora, unaoheshimu katiba, taratibu, haki za watu na sheria zinazoiongoza nchi.Yeye akiyanadi hayo anayosema, hawezi maliza miaka 5, je yuko tayari?
Hotuba Imeenda Shule, Imejaa NONDO za Perspective ,Pale kichwani Kuna kitu.
Mahakama imewakuta na hatia?Sikutegemea Kama Tundu lissu Leo ataongea utopolo huu,
Nanukuu: "Magufuli kataifisha na kuwashtaki wafanya biashara wengi nchini ili apate pesa za kujengea miundo mbinu yake"
Swali je Ni kosa kuwashughulikia mafisadi?
Je nikweli miundo mbinu yote iliyojengwa awamu hii ina munufaisha Rais Magufuli pekee? Je haya maji, hospital, umeme, barabara na n.k wanazotumia wananchi zimetoka Wapi?
Mtazamo wangu; kwenye hiyo hotuba ya TL Kuna mambo sahihi lakini utopolo ndo mwingi na kwa maana hiyo naomba kutoa msimamo wangu rasimi LISSU SIWEZI KUMPIGIA KURA YANGU YA URAIS,,
And I'm telling you guys go anywhere, everywhere and elsewhere Magufuli will Winn the election on 25oct2020. Save the date.
Kauli za kuita watu MASISIEMU, huwezi msikia mgombea mwenye busara akitumia majina ya ajabu. Hii itamgharimu ila bavicha watabisha.Kimsingi huyu jamaa hana ajenda yeyote.
Lakini ni kuwa ni haki yake kugombea,napenda kumshauri jambo moja kubwa.
Mosi, apunguze ujuaji mwingi usiomsaidia. Mfano,kumkashifu Nyerere bungeni haikuwa good move kwake na wenda ndio ilimgharimu. Ajikite kwenye hoja mbadala na kama hilo kwake litakuwa gumu basi chama chake kihusike kum-brand ajiite sana kujenga hoja mbadala watanzania wamwelewe. Zile tambo za kukashifu watu hasa opponents wake hazitampa credit.
Pili, asiwe too emotional kuelekea azma yake ya kupata kura za watanzania, hana haja sana yeye kama mgombea kuchafua watu na kuponda hasa anapouza ajenda au sera zake. Wawepo wetu wengine kufanya hivyo yeye ajikite katika ajenda na sera,kwa kufanya hivyo atapata uungwaji mkono wa makundi yote na public sympathy na atapata kura.
Tatu, chadema kama wataweza waifanyie review ya ilani yao ya mwaka 2010 ambayo aliitumia Dr. Slaa watoe au waboreshe baadhi ya sera waitumie mwaka huu.
Kila la heri CHADEMA.
Kitendo cha kutangaza tu nia akiwa nje ni dharau kwa watanzania. Huyu ana anguko moja kubwa sana.
Ajue pia kuwa mahakama inamsubiri....Safi sana sisi mtaani huku kazi yetu ni 1 tu kuwaeleza walemavu CCM haihitaji kura zao 2020.
Unatangazaje nia kwa kutoa tuhuma za uongo dhidi ya viongozi walioko madarakani!!? Watanzania wa leo siyo wale wakuambiwa uongo na wakaukubali tu kizuzu. La asha!Brother inaonekana hujui kuchambua hotuba za Wanasiasa na Watu makini! Hii ni kutangaza nia tu siyo kampeni ya Urais. Kwa sheria na taratibu mgombea Urais akishateuliwa na Chama chake ndipo atatangaza Sera na Ilani ya Chama chake.
Kuhukumu Sasa hivi eti hajaongea sijui kuhusu Uchumi, Elimu, Afya etc ni kuonesha hujielewi. Muda bado sana ni hapo Oktoba mbichi na mbivu zitajulikana!
Watanzania wanamcheki tu na kumzoooom. Atashangaa na roho yake atakavyopigwa chini.Mkuu Ni wajinga na wapumbavu pekee Watakao muunga mkono huyo mwamba wa siasa,,
Uchaguzi ufanyike Tanzania Nia Nia utangazie ulaya! What kind of rubbish..
Only foolish will be fooled by foolish man
Soma graph tangu 1992 inapanda au inashuka utapata jibu.Mtasubiri sana nyinyi naona hata hamuwaelewi viongozi wenu walishawaambia kuwa mkishindwa kupata nchi 2015 itachukua 50 years kujipanga tena kuja na mikakati ya kuchukia nchi. Hivyo subirini baada ya miaka 50 kama mlivyoambiwa na viongozi wenu.
Kina wachache sana watakuelewa humu jf, ila mtaani utaeleweka kwa wengi.Unatangazaje nia kwa kutoa tuhuma za uongo dhidi ya viongozi walioko madarakani!!? Watanzania wa leo siyo wale wakuambiwa uongo na wakaukubali tu kizuzu. La asha!
Ukweli, Lissu anawapa shida sana ninyi mnao mtetea, maana ni vigumu sana kumtetea mtu anayezusha mambo bila hata na ushahidi wa kukinga 'uzushi' wake. Kwa nyakati hizi Lissu alitakiwa kutulia na kuchagua maneno ya kuwaambia mashabiki wake kimkakati. Lakini wapi, kaipoteza nafasi hiyo adhimu.
Binafsi, nao first impression ya Lissu kuonyesha nia kwenye nafasi anayoihitaji kibinafsi zaidi kuliko kimaslahi mapana ya nchi imemuangusha vibaya sana. Mashabiki wake, ukubalini ukweli huu ingawa ni mchungu.
Mabeberu wa Chato labda.Hata mabeberu hawawezi TZ walishajaribu sana tu lakini watz wana waignore sana