Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Umeamua kutukumbusha tu lkn haujajibu au kufafanua kwa hoja toshelevu tukaona Lisu kabwabwaja, hivyo, kutokuzumgumwa na lisu hakuondoi uhalali wa dhuluma au mateso yaliyofanywa na watawala waliotangulia

Diplomasia ndiyo beat ya mziki utakaouandika wewe hivyo akapela daima haina mvuto na haishawishi hivyo uishia maskion na mwishowe chini bila kwenda akilini na moyoni

Kwangu na wanasheria wengi wazalendo akiwemo mwanasiasa makini tukubaliana na hoja ya lisu kwa kuwa
1 anamsimamo
2 anaujua mfumo wa sheria na utawala
3 anajua magumu na maumivu ya utawala
4 anaijua sasa katiba n muhimu
5 anajua tunataka independent govt organs
6 anaweza kuvumilia kama alivyoweza kwenye bunge na mahakamani akichangia au akiingiliwa na kushushuliwa kwa hoja
6 anaweza kuanzisha taifa la kiliberali linaloruhusu uhuru wa huduma, mawazo na nyanja za uzalishaji mali, hivyo anaweza kuruhusu maandamano kwani maandamano si sheria bali uhuru wa mawazo na hivyo kabla ya rais kila umma unaweza toa majibu, kubeza au kuonya dhidi ya waandamanaji
8 mwisho yuko tayari kufuta urahisi ufalme kwa kujipunguzia madaraka pia kuruhusu regulatory agencies kuanzishwa kama polisi, NEc, nida, tcra, tiss, cag, takukuru, tra, bot, cooperative union, halmashaur na mikoa, prosecution office nk

Si lazima lissu tukimpata mwingine kama huyu nitampa kura, binafsi sikutegemea kitu toka kwake isippkuwa leo kanikuna na kuwaza kufikir naweza muongeza kwenye list yangu ya wagombea mahiri wa urahisi
Hata dr slaa hakufika hapa na hakulijua taifa vizur ukiachilia taarifa za kuletewa mezani





But chadema wekeni ukurasa sawa kwa wote
Mleta hoja next time mlete na zile wengine
 
Rais wetu mpendwa JPM atagonga 2M. A
 
Mnashindwa kumpa ushauri aliyeporomosha uchimi [emoji3]
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo
 
Tuliza mshono kisha uchangie kwa utulivu
 

SOUNDS NONSENSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…