Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

CHADEMA October 2020 tafadhalini tuwekeeni Lissu kwenye ballot paper,,hizi sarakasi zenu za kila mtu kutia nia Napata hisia kua kuna mtu zinamuandaa tofauti na Lissu,,Naona fika mnamuandaa NYALANDU,.. TUNAHITAJI mtu popular kidogo ambaye anafahamika ,,,and Lissu is the best,,,NYALANDU kesha sahaulika katika masikio ya Watanzania,, na Hawezi kumtikisa Magu,,,,, TUWEKEENI LISSU ,,,
Lissu, Nyalandu wote REJECTS. Lissu tulimheshimu wakati akipinga kwa nguvu zote usafirishaji wa makanikia. Mabeberu walipofikia bei ya Lissu na Magufuli akasema hakuna kusafirisha makanikia yule yule Lissu alikuja kwa nguvu zaidi mno kusema makanikia lazima yasafirishwe. Hakuna mTZ anayemtaka rais desaini hiyo. Kwa Nyalandu ni maangamizi. CDM walionyesha jinsi alivyokuwa akiuza vitalu. Hivi WaTZ tumesahau?
 
Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu .muambiwe lipi mtii
Huyu aliepo mwenyewe ni Unfit,,,Unazani kuishi na ulemavu wa MOYO na ulemavu wa miguu kipi nafuu?... Lissu Ana vyuma Mguuni ,,ila Aliyepo (YESU wa CCM) Ana betri za ku boost moyo
 
M naona uchaguzi usifanyike tu maana mshindi anajulikana kwaiyo pesa za kampeni na uchaguzi zitumike kuwapa mikopo wanafunzi zitakazobaki waboreshe miundombinu au apewe piere akanywe bia
 
Lissu, Nyalandu wote REJECTS. Lissu tulimheshimu wakati akipinga kwa nguvu zote usafirishaji wa makanikia. Mabeberu walipofikia bei ya Lissu na Magufuli akasema hakuna kusafirisha makanikia yule yule Lissu alikuja kwa nguvu zaidi mno kusema makanikia lazima yasafirishwe. Hakuna mTZ anayemtaka rais desaini hiyo. Kwa Nyalandu ni maangamizi. CDM walionyesha jinsi alivyokuwa akiuza vitalu. Hivi WaTZ tumesahau?
Kama wewe Sio CHADEMA pita kushoto,,,,,huyu aliepo pia CDM hao hao walionyesha jinsi alivyo uza NYUMBA za Serikali,,na moja kumhonga kimada ,,ila si huyu mnadunda nae! .
 
M naona uchaguzi usifanyike tu maana mshindi anajulikana kwaiyo pesa za kampeni na uchaguzi zitumike kuwapa mikopo wanafunzi zitakazobaki waboreshe miundombinu au apewe piere akanywe bia
Hawa wanafunzi wanao maliza Miaka 5 mfululizo bila ajira?..
 
Lissu anafaa ila nadhani akitua tu lazima jiwe amkamate uwanjani Tz imekuwa mbaya sana siku hizi.
 
Ningekuwa mimi ni mshauri hapo ufipa ningewaambia chadema waachane tu na mafasi ya urais wao wajikite kwenye wabunge.
 
NAKUHAKIKISHIA hili,,, Kwa uchaguzi huru na haki ,,Lissu Ana mpiga MAGUFULI saa mbili asubuhi,,,,,NIKUKUMBUSHE TU, na fly over na Madaraja yamejengwa Darisalama,, huko kwengine?.. porojo na kujimwambafai
 
Kuna watu wanamatatizo makubwa na wasaliti wa kufikiri mtu mzima kabisa anaapa kupigia kura mtu kwa kuwa amepona kifo?,nchi inahitaji uchumi sasa ni kuwaza kuondoa umaskini kwa kuweka mifumo imara ya vizazi vijavyo mambo ya siasa nyepesi sio mahala pake .

Hakuna ilani hakuna mwelekeo kama taifa hakuna rengo la kuleta maendeleo na mageuzi yenye tija kilichopo ni huruma tu ,taifa linahitaji mtu wa kuweka Marengo thabiti ya kupeleka mbele nchi sio kulilia na shida zake binafsi na kuacha ndoto za taifa

Ndoto wa wananchi million 60+ sio hoja hoja ni risasi na kupona ,hata uchumi hamfikirii hata elimu,maji,miundombinu,diplomasia hamtaki kujua nyie ni risasi tu

Hii nchi ina watu wa ajabu sana na inatia hadi huruma kuona mawazo ni kupeana kura za huruma shame on you!

USSR
 
Kuna watu wanamatatizo makubwa na wasaliti wa kufikiri mtu mzima kabisa anaapa kupigia kura mtu kwa kuwa amepona kifo?

Hakuna ilani hakuna mwelekeo kama taifa hakuna rengo la kuleta maendeleo na mageuzi yenye tija kilichopo ni huruma tu .

Lisu anayo yote hayo na kuzidi. Sababu za yeye kupigwa risasi ni zaidi ya sera za ccm!
 
Kuna watu wanamatatizo makubwa na wasaliti wa kufikiri mtu mzima kabisa anaapa kupigia kura mtu kwa kuwa amepona kifo?

Hakuna ilani hakuna mwelekeo kama taifa hakuna rengo la kuleta maendeleo na mageuzi yenye tija kilichopo ni huruma tu .

Ndoto wa wananchi million 60+ sio hoja hoja ni risasi na kupona ,hata uchumi hamfikirii hata elimu,maji,miundombinu,diplomasia hamtaki kujua nyie ni risasi tu

Hii nchi ina watu wa ajabu sana na inatia hadi huruma kuona mawazo ni kupeana kura za huruma shame on you!

USSR
Eti Rengo badala ya lengo
Tukio la lissu kupona shambulio LA risasi linaakisi masuala ya haki za binadamu ambazo ni jambo la msingi sana kwenye uchumi wetu mosi wawekezaji hawataweza kuja kuwekeza nchini kwetu moja kwa moja (kwa kimombo Foreign Direct Investment) wataogopa kuwekeza nchini kwetu kwa sababu nchi sio salama, pili hoja ya kupigwa risasi lissu na mashanbulio mengine inabeba tafsiri kwa wafadhili kwa sababu wanaweza kutuwekea vizuizi kwenye bajeti yetu na kama unavyojua wao ni wahisani kwetu, tatu ni kwamba suala la lissu na mengine kama hayo yanabeba haki za watu kutoteswa kwa sababu utesaji,kujeruhi ni kosa na pia hilo in suala la usalama was raia.
 
Kama hakuna usalama kampuni kubwa kama Barrick ingeg'g'ania kuwekeza hapa Tanzania? Hao wahisani mbona bado wanatoa misaada? Kama kuna ukiukwaji wa haki za binadamu. Watu hapigi kura kwa huruma kama unavyodhania,tumia akili.
 
-Umegusia kampuni moja tu ya barrick lakini foreign direct investment imeshuka nchini kwetu,
-wahisani wanatoa misaada lakini lazima ujuwe kwamba wana masharti yao ikiwemo haki za binadamu na ndiyo maana WB walishikilia Mkopo wetu kwa kipindi Fulani kutokana na barua ya malalamiko ya zitto na hata WB walipotoa ule mkopo ukatolewa kwa masharti
-kusema watu hawapigi kura kwa huruma au wanapiga kwa huruma hilo sasa litategemea na usikae kwenye akili za watu na kuwasemea kwamba hawatapiga kura za huruma (usisemee mioyo ya watu unless una research findings kama za TWAWEZA zinazothibtisha hilo) kwa sababu watu pia wanaweza kupiga kura za huruma kama kumthamini kwa ujasiri na magumu aliyopitia na kumpa kura za ushindi kama zawadi ya kipigania haki ndani na nje ya bunge.
 
Salama kwa risasi za mtu mmoja nchi gani watu hawapigwi risasi

Je kuna mengine au ni risasi tu
Hoja yako ya kusema kwamba mtu mmoja tu ndiyo kapigwa risasi haina nguvu kwa sababu zifuatazo
-ukiangalia mazingira ya kupigwa risasi kwa Hugo mbunge yanatia shaka sana ukizingatia no protected area ambalo lina ulinzi masaa 24 kwa sababu wanaishi wabunge mawaziri nk na pia haki ya kuishi inalindwa na katiba yetu hii ya 1977 ambayo rais ameapa kuilinda na kuitetea haijalishi wangapi wamefyatuliwa risasi hata kama no mmoja
-kutofanyika kwa uchunguzi baada ya tukio lile la kupigwa risasi linazidisha shaka zaidi juu ya tukio lenyewe
 
Back
Top Bottom