Lissu, Nyalandu wote REJECTS. Lissu tulimheshimu wakati akipinga kwa nguvu zote usafirishaji wa makanikia. Mabeberu walipofikia bei ya Lissu na Magufuli akasema hakuna kusafirisha makanikia yule yule Lissu alikuja kwa nguvu zaidi mno kusema makanikia lazima yasafirishwe. Hakuna mTZ anayemtaka rais desaini hiyo. Kwa Nyalandu ni maangamizi. CDM walionyesha jinsi alivyokuwa akiuza vitalu. Hivi WaTZ tumesahau?CHADEMA October 2020 tafadhalini tuwekeeni Lissu kwenye ballot paper,,hizi sarakasi zenu za kila mtu kutia nia Napata hisia kua kuna mtu zinamuandaa tofauti na Lissu,,Naona fika mnamuandaa NYALANDU,.. TUNAHITAJI mtu popular kidogo ambaye anafahamika ,,,and Lissu is the best,,,NYALANDU kesha sahaulika katika masikio ya Watanzania,, na Hawezi kumtikisa Magu,,,,, TUWEKEENI LISSU ,,,