Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Ndugu aya mambo uwa nayaskia ki juu juu.Leo nmeelewa.
Pole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuu
 
Kwa nondo za leo zinazoendelea kushushwa na mzee wa busara Warioba, napendekeza apewe ulinzi madhubuti kuanzia sasa hadi Mungu atapomchukua, nadhani mkinisoma kwa makini mtanielewa nimemaanisha nini.

Hahahahahahaaaa! Usijali mkuu! Warioba meno hana na kabla ya kuingia pale, ameshakata kucha zake!
 
Kinachotaka serekali 2 ni chama cha mapinduzi na wale wote ambao maisha yao yote wamewekeza ndani ya CCM lakini wtz wengi wanataka serekali 3 ambazo zitaifanya Tanganyika irudi.Ikishindikana pawepo na serekali moja yenye nchi moja ya Tz.
Mkuu, wana wasiwasi kuwa mamlaka ya Tanganyika ikiwepo italirejesha Azimio la Arusha. Hivo wanang'ang'ania serikali mbili waendelee kuula.
 
Kuna kitu kinaniambia muundo wa serikali tatu ukipita kuna vitu vitasababisha argument kwa waumini wake.
 
Warioba is our hero. Warioba is made of steel ,CCM mbao tupu.Mungu na Mtume tutagawana mbao muda si mrefu.
 
Warioba hata Ukifa ...leo you are a NATIONAL HERO...
 
Mkuu, huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba hivyo ana walinzi. Na isitoshe ni Waziri Mkuu mstaafu hivyo lazima awe na walinzi

Kama ni hivyo sawa ila kwa mwenendo wa mambo yalivyo sasa anahitaji ulinzi huru na shirikishi, tuendelee na hotuba kaka huku tutarudi badae.
 
JK atakuwa na kazi ngumu sana ya kupangua hizi hoja...maana Mzee Warioba anatoa hoja kwa vielelezo...ni ngumu kwelikweli.
Kwani umesikia JK anakuja kumjibu warioba? Unajuaje pengine anataka muundo wa serikali moja?
 
Mkuu, wana wasiwasi kuwa mamlaka ya Tanganyika ikiwepo italirejesha Azimio la Arusha. Hivo wanang'ang'ania serikali mbili waendelee kuula.
Azimio la arusha halina tatizo wewe ndiye unalijofia sijui kwa mantiki gani.
 

Penda kusoma thread za wenzako, habari hii ni ya jana... futa delete unajaza server tu ya Jf
 
Nashauri wananchi rupige kwanzq kura ya kuamua quna ya muungqno tuupendao. Naona warioba anaanza kutuchangamya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…