BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
Tanganyika nakupenda sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti gani mkuu. Maana kwenye bunge hili sasa kuna wenyeviti wengi kama Mbowe, Warioba, Lipumba, Mbatia, Dovutwa, Hashim Rungwe, Sitta nk
Pole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuuNdugu aya mambo uwa nayaskia ki juu juu.Leo nmeelewa.
Kwa nondo za leo zinazoendelea kushushwa na mzee wa busara Warioba, napendekeza apewe ulinzi madhubuti kuanzia sasa hadi Mungu atapomchukua, nadhani mkinisoma kwa makini mtanielewa nimemaanisha nini.
Mkuu, wana wasiwasi kuwa mamlaka ya Tanganyika ikiwepo italirejesha Azimio la Arusha. Hivo wanang'ang'ania serikali mbili waendelee kuula.Kinachotaka serekali 2 ni chama cha mapinduzi na wale wote ambao maisha yao yote wamewekeza ndani ya CCM lakini wtz wengi wanataka serekali 3 ambazo zitaifanya Tanganyika irudi.Ikishindikana pawepo na serekali moja yenye nchi moja ya Tz.
Binafsi nimepata shule ya kutosha sasa hata akikaa ameua
Mkuu, huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba hivyo ana walinzi. Na isitoshe ni Waziri Mkuu mstaafu hivyo lazima awe na walinzi
Radio za bongo zote zinacheza ndomboro kweli watanzania tumelogwa mambo ya msingi tunayafanya ya ziada na ya ziada tunayafanya ya msingi
Serikali 2 ipo unaitakaje tena? tatizo imeshindwa kukidhi haja ndani ya miaka 50 iliyopita,hatuna budi kubadilika na kuangalia serikali 1 au 3.
Azimio la arusha halina tatizo wewe ndiye unalijofia sijui kwa mantiki gani.Mkuu, wana wasiwasi kuwa mamlaka ya Tanganyika ikiwepo italirejesha Azimio la Arusha. Hivo wanang'ang'ania serikali mbili waendelee kuula.
[h=1]Bunge lavunjikaBUNGE Maalum la Katiba, limevunjika ghafla baada ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kukataa kuwasikiliza wajumbe waliokuwa wakimlalamikia kuvunja kanuni.[/h] Written by makame silima // 18/03/2014 // Habari // 1 Comment
Bunge lavunjika![]()
Wajumbe waparaganyika, Warioba akwama kuhutubia
by Edson Kamukara
Bunge lavunjikaBUNGE Maalum la Katiba, limevunjika ghafla baada ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kukataa kuwasikiliza wajumbe waliokuwa wakimlalamikia kuvunja kanuni kwa kumruhusu Mwenyekiti wa Tume Maalum ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuwasilisha rasimu ya Katiba badala ya Rais Kikwete kulihutubia Bunge.
Dalili za Bunge hilo kuingia dosari zilianza kuonekana tangu mapema mchana baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Uwaka) kutofautiana na Sitta kuhusu kutengua kanuni bila kufuata utaratibu.
Kanuni ya 7-(1) (g) na (h) inasomeka kuwa; 7- (1) Shughuli za Mkutano wa Bunge Maalum zitakuwa kama ifuatavyo: (g) hotuba ya ufunguzi ya Mgeni Rasmi (Rais Kikwete); (h), uwasilishaji wa Rasimu ya Katiba (Jaji Warioba).
Hata hivyo Sitta alitengua kanuni hiyo ili kumpa nafasi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba awasilishe rasimu ya katiba kabla ya hotuba ya ufunguzi ya Rais Jakaya Kikwete.
BONYEZA WEB
KAMATI YA MARIDHIANO SIX WARIOBA APIGWA STOP BUNGENI - YouTube