Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hivi inakuaje Wabunge wanaapa kua watakua watiifu na Mungu awasaidie halafu wakishaanza vikao wanakua sio watiifu?

Ndugu yangu hao jamaa hawakuapa kumtii Mwenyekiti wao. Waliapa kuitii JMT.

Kwahiyo kiapo kinawaruhusu kuwa wakaidi kwa maamuzi yoyote ya Mwenyekiti!
 
Bora ingekuwa, mbunge akifariki aliyeshika nafasi ya pili anapanda pale juu, coz angalau wananchi walimsikiliza wakati wa kampeni, sasa hii ya chama kuteua mtu napata shida kidogo


hili la mbunge akifariki, chama kitapataje mtu aliye chaguo la wananchi
 
Waheshimiwa naomba hii hotuba ya Mzee Warioba mtuwekee hapa. Nitachapisha nitunze nakala yangu niwe naisoma kila ninapokumbuka jambo. Na nitaitunza kwa vizazi vijavyo.
 
Jaji warioba salute kwako! Huyu ndo mzalendo namba moja kwa sasa nchi hii! Hiv ccm bado mnabisha? Muambiwe nni kwa maelezo haya ya warioba? Sema baba warioba sema MUNGU yu nawe!
 
Bunge limegeuka kuwa kama darasa la chekechea...

Kuna makelele mengi sana kama kuku wanaosubiria kuchinjwa...
 
Warioba anasema serikali moja ndio ingefaa zaidi. Wamepiga kelele hadi imebidi anyamaze kwanza.
 
Hakuna njia ya kubadili haya matatizo ya muungano,bali ni serikali TATU!!

KIMENUKA TAYARI,WARIOBA SIJUI NDO ANAZOMEWA AU ANASHANGILIWA HAPA.

MUUNDO WA SERIKALI MOJA UTAIMEZA ZANZIBAR_WARIOBA

MUUNGANO WA SERIKALI MOJA HAUNA UHALISIA_WARIOBA.
 
Kenya kila kitu kilikuwa live na media zote zilikuwa attention kweli sio hapa Bongo wanasubiri vituko bungeni ndio waandike front page!

Yaani mkuu vyombo vya habari hapa bongo ni majanga tupu. Sisikii radio yoyote zaidi ya TBC. Najiuliza hivi sisi Watanzania tuna akili nzuri kweli? Something must be very wrong somewhere! Kikao muhimu kama hiki radio almost zote ziko kwenye ndomboloo and some other shit!
 
Wanafiki wa CCM na serikali mbili kumbe kwa Warioba wanapeleka maoni tofauti.....
 
Kaka hii avatar yako kulikonii?

Tehehehe tehe thiiiiiii! Uuwiii:A S-confused1:

Mwenyekiti anaeleza kilichotokea jana. Kwamba baada ya kutokea kile kilichotokea, ni kwamba waliitisha kamati ya mashauriano. Katika kikao hicho wamekubaliana mambo yafuatayo.
  1. Kwamba baada ya kiapo watampokea Mwenyekiti na Makamu mwenyekiti
  2. kwamba Warioba atahutubia kuanzia saa tatu na nusu hadi atakapomaliza
  3. semina zilizokuwa na utata zimefutwa badala yake semina ya kanuni itafanyika leo jioni na kesho
  4. Siku ya Alhamisi kutakuwa na semina itakayoongozwa na Wakenya.
  5. Semina juu ya historia ya Tanzania Bara, Zanzibar na Muungano imefutwa kwa vile kwa kadri utakavyoteua watakaoendesha semina hiyo, hawataonekana kama wamesimama kati kati
  6. Siku ya Ijumaa asubuhi, Mwenyekiti atatangaza Kamati 12 za Bunge Maalum
  7. Siku ya Ijumaa asubuhi, Rais atakuja kulizindua Bunge
 
katibu mkuu mmoja tu katika serikali ya muungano anatoka Zanzibar!! hata huyo amependelewa!!!! aende Zanzibar mara moja siwapendi hawa watu!!!!
 
Mtu shallow kama OLE TOMBEKA hawezi kuja na hoja ya maana kupinga serikali tatu. Muungano ulishakufa
 
Haya Malalamiko ya Zanzibar ndo yamefanya tume ione muundo ni tatizo
Kwa hiyo hayo malalamiko yakipatiwa ufumbuzi muungano ndo utakuwa imara? Samahani lakini mimi ni muumini wa serikali moja japo tume imeuneza
 
Yaani mkuu vyombo vya habari hapa bongo ni majanga tupu. Sisikii radio yoyote zaidi ya TBC. Najiuliza hivi sisi Watanzania tuna akili nzuri kweli? Something must be very wrong somewhere! Kikao muhimu kama hiki radio almost zote ziko kwenye ndomboloo and some other shit!

mkuu wanasikiliza taarabu
 
Warioba shikamooooooo!!!! Hongera kwa kuweka wazi unafiki wa CCM..... Mijitu inatetea tu serikali mbili kingese tu!!!
 
Back
Top Bottom