BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
Kwa hiyo hayo malalamiko yakipatiwa ufumbuzi muungano ndo utakuwa imara? Samahani lakini mimi ni muumini wa serikali moja japo tume imeuneza
mkuu hili haliwezekani hata kidogo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hayo malalamiko yakipatiwa ufumbuzi muungano ndo utakuwa imara? Samahani lakini mimi ni muumini wa serikali moja japo tume imeuneza
Wanafiki wa CCM na serikali mbili kumbe kwa Warioba wanapeleka maoni tofauti.....
Sidhani kama uko sahihi some time warioba naye ni kama anafanya siasa tu.Marumbano kwa huo ukweli wa kutaka serikali 3
CCM ni wanafiki sana
Radio Maria[/QUOFrequence zake plzzz
kama upo Dar.
Radio Maria 103.6 fm
Tbc taifa 87.5 fm
Warioba shikamooooooo!!!! Hongera kwa kuweka wazi unafiki wa CCM..... Mijitu inatetea tu serikali mbili kingese tu!!!
Warioba anasema serikali moja ndio ingefaa zaidi. Wamepiga kelele hadi imebidi anyamaze kwanza.
atakuwa amekugusa vizuri hata Mimi nimemkubali Huyu mzee