mbwiganyuki
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 156
- 103
Wakuu Jaji Warioba anawasilisha Rasimu ya Katiba mpya. Sisi wengine hatufuatilii kwa sababu ambazo ziko wazi. Kwa mwenye access na hotuba hiyo atuwekee hapa kwa rejea.
Kweli jina lako linakufaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Jaji Warioba anawasilisha Rasimu ya Katiba mpya. Sisi wengine hatufuatilii kwa sababu ambazo ziko wazi. Kwa mwenye access na hotuba hiyo atuwekee hapa kwa rejea.
Serikali 2 ipo unaitakaje tena? tatizo imeshindwa kukidhi haja ndani ya miaka 50 iliyopita,hatuna budi kubadilika na kuangalia serikali 1 au 3.Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili
Mkuu, kinachonipa hofu ni kuona wabunge wa Zanzibar bila kujali itikadi zao wanashangilia sana hotuba ya Warioba. Wana ajenda ya siri hawa
Kwenye maoni wamependekeza mengine.................kwenye Bunge wanaongea mengine
Kwa hiyo kama wanawake wawili wamekushinda ndo uamue kuoa mke wa tatu? Si unarudi kuwa na mmoja tu au kutokuwa na mke kabisa?Serikali 2 ipo unaitakaje tena? tatizo imeshindwa kukidhi haja ndani ya miaka 50 iliyopita,hatuna budi kubadilika na kuangalia serikali 1 au 3.
Hakika mkuu. Na wazanzibari wote nimewaona wanashangilia hilo. Wqna ajenda ya siri
Mkuu, huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba hivyo ana walinzi. Na isitoshe ni Waziri Mkuu mstaafu hivyo lazima awe na walinziKwa nondo za leo zinazoendelea kushushwa na mzee wa busara Warioba, napendekeza apewe ulinzi madhubuti kuanzia sasa hadi Mungu atapomchukua, nadhani mkinisoma kwa makini mtanielewa nimemaanisha nini.
Wewe uko wapi mkuu, mbona kitu iko live?
Naangalia na kusikiliza Hotuba ya kihistoria kutoka kwa JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA!
Hakika mkuu.Mimi binafsi siupendi huo muungano!!
Akaunti ya pa! Haijaanzishwa!
Kama hawataki uvunjike basi serikali 3 zipite kwani zitavunjika tu huko mbele.!!
Nimemuona lema mjengoni halafu kaitwa kwenda kuapa hatjatokea.!!
Mungu mlinde huyu warioba!!
Tuone sasa jinsi huyo JK anakavyomzima, sijui atakuja na hoja gani nzito zaidi ya hizi?
Leo ndo cku nloelewa vizuri izo kero za muungano kwa kumsikiliza uyu baba.No wei serikali 3 ndo suluisho.
Mkuu, kwani kama angetumiahizo dakika kueleza mambo haya si ingekuwa vema tu?
Kama tunaelewa kero za muungano kupitia speech ya warioba, basi tumekwisha. Me nilijua hizi kero tunazijua?
Mkuu, CCM wametulia tuliiii. Wanajua kuwa wapo wengi na kelele za Warioba hazitawazuia kufanya maamuzi yao waliyokubaliana ndaninya chama.Warioba ni very straight na simple...CCM wana kazi sana kumuondoa kwa jinsi anamwaga ushahidi..JK anayo kazi kuleta porojo