Mm naona hamas wamepokea mzigo mpya kwasasa kifaru kinafumuliwa vipande vipande najiuliza ikiwa chuma inafumuliwa kias ichi vipi wajeda waliondani ya kifaru!!!!! Hiii vita mbaya kisa kupora ardhi ndio nigawanywe adi utumbo kichwa apana waaisrael watafute ardhi nyengine mbona dunia kubwahii ata uku kwetu tanzania si waje waekeze kwenye kilimo wataishi kwa aman , pale UAE nilisikia wamewapa uraia waIsrael zaid y 5000 miaka y 2010. Kwann wasijigawanye kwanjia kama ile japo 5000 au 10000 maisha uhai yanasamani kubwa wasiyachezee ukifa daaa ndio milele amina afuu kirais rais!! ati ndio wanye akili awa., mm siamini nitakuwa wa mwisho kuamini eti wana akili zaid wanakufa kugombea ardhi ambayo wameikuta na wenyeji ndani yake wanaradhimisha kuwatoa wenyeji li!waishi wao kwa njia ngumu . sasa ant tank mpya ivo vifaru watavifichia wapi naona vita ndio vinaanza watu wamechoka kuona hii zulma wanapenyeza viuma hatari Gaza Hesbullah kunawakati walikuwa na ant tank chapa qurnet y kifaransa nayo sio poa kifaru kinarushwa juu mazee. Hii yasasa uko Gaza sijui yawapi mana kifaru kinaenda juu na kinachanguka vipande vipande hii vita tuache ushabiki w kidini kwapamoja tupinge hii vita, au laah tujiandae kuviona vita ivi vikienea mashariki ya kati mwisho tutavigalamia kupitia mafuta gas mtayakumbuka aya maneno yangu.