Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Mm naona hamas wamepokea mzigo mpya kwasasa kifaru kinafumuliwa vipande vipande najiuliza ikiwa chuma inafumuliwa kias ichi vipi wajeda waliondani ya kifaru!!!!! Hiii vita mbaya kisa kupora ardhi ndio nigawanywe adi utumbo kichwa apana waaisrael watafute ardhi nyengine mbona dunia kubwahii ata uku kwetu tanzania si waje waekeze kwenye kilimo wataishi kwa aman , pale UAE nilisikia wamewapa uraia waIsrael zaid y 5000 miaka y 2010. Kwann wasijigawanye kwanjia kama ile japo 5000 au 10000 maisha uhai yanasamani kubwa wasiyachezee ukifa daaa ndio milele amina afuu kirais rais!! ati ndio wanye akili awa., mm siamini nitakuwa wa mwisho kuamini eti wana akili zaid wanakufa kugombea ardhi ambayo wameikuta na wenyeji ndani yake wanaradhimisha kuwatoa wenyeji li!waishi wao kwa njia ngumu . sasa ant tank mpya ivo vifaru watavifichia wapi naona vita ndio vinaanza watu wamechoka kuona hii zulma wanapenyeza viuma hatari Gaza Hesbullah kunawakati walikuwa na ant tank chapa qurnet y kifaransa nayo sio poa kifaru kinarushwa juu mazee. Hii yasasa uko Gaza sijui yawapi mana kifaru kinaenda juu na kinachanguka vipande vipande hii vita tuache ushabiki w kidini kwapamoja tupinge hii vita, au laah tujiandae kuviona vita ivi vikienea mashariki ya kati mwisho tutavigalamia kupitia mafuta gas mtayakumbuka aya maneno yangu.
 
Na atawamaliza wote 😂😂
Sasa mkuu watu waliodanganywa na mudi unadhani wanaweza kuwa na akili za kudadavua mambo?

Umegandanywa kuna wateule. Inaingiaje akilini ? Hao hao anaowaabudu ndiyo wanamwita Yesu Mwanaharamu, wanamdhalilisha Mary (mama ya Yesu) kuwa ni malaya na hawautambui Ukiristo, na baado wewe umefumbwa bongo. Ebu fanya analysis kidogo kama una akili kidogo😳
Halafu, hao hao wateule unaowaabudu leo ndo walipata kichapo na kuuwawa sana na wakiristo kwa miaka mingi kuwa walimuuwa Yesu. Je haya mahaba ya kishoga ndiyo yamefufua mbinu hii mpya?

View: https://youtu.be/7S17Fr8z_Oo?si=mU0rCPPlprCrHjsS
 
Hapo utakuwa umejua nguvu ya Israel mpaka JF. Sasa nani mwenye akili timamu anaweza kuyajali hayo magaidi? Majitu mazima yanahaidiwa mito ya pombe na mabikra 72 pindi yakifa na yenyewe yanaamini, mara yanasema majini ni wenzao sasa nani anaweza kuyajari majitu ya hivyo

Kasome utafahamu. Naona ni upungufu wa elimu. Ila nataka nikushtue kidogo naona una usingizi wa fofofo

Umegandanywa kuna wateule. Inaingiaje akilini ? Hao hao anaowaabudu ndiyo wanamwita Yesu Mwanaharamu, wanamdhalilisha Mary (mama ya Yesu) kuwa ni malaya na hawautambui Ukiristo, na baado wewe umefumbwa bongo. Ebu fanya analysis kidogo kama una akili kidogo😳
 
Kumbe! Ngoja nianze kahudhulia madrasa huenda nikapata maarifa
🇮🇷| BREAKING: Waziri wa Ulinzi wa Iran asema Iran itajibu Israel, na kuongeza kuwa hata kama Israel ingefyatua risasi moja jangwani, haitavumiliwa.

Pia alisema adui alijaribu kuharibu uwezo wetu wa ulinzi pamoja na mashambulizi yetu. Walakini, haijafanikiwa sana katika malengo yake. Wale ambao Israeli imewaletea uharibifu, walikuwa uwezo na uzalishaji wa ndani / maarifa, kwa mfano mmoja tuliweza kuchukua nafasi ya mfumo mmoja wa ulinzi wa hewa siku iliyofuata.

Uwezo wa kombora na uzalishaji bado haujaathiriwa, madai yoyote yanayopendekeza vinginevyo ni ya uwongo.

Kwa swali la mwandishi wa habari, waziri anajibu kwamba hakuna ndege za kivita zilizoingia kwenye anga ya Iran.
 
Mm naona hamas wamepokea mzigo mpya kwasasa kifaru kinafumuliwa vipande vipande najiuliza ikiwa chuma inafumuliwa kias ichi vipi wajeda waliondani ya kifaru!!!!! Hiii vita mbaya kisa kupora ardhi ndio nigawanywe adi utumbo kichwa apana waaisrael watafute ardhi nyengine mbona dunia kubwahii ata uku kwetu tanzania si waje waekeze kwenye kilimo wataishi kwa aman , pale UAE nilisikia wamewapa uraia waIsrael zaid y 5000 miaka y 2010. Kwann wasijigawanye kwanjia kama ile japo 5000 au 10000 maisha uhai yanasamani kubwa wasiyachezee ukifa daaa ndio milele amina afuu kirais rais!! ati ndio wanye akili awa., mm siamini nitakuwa wa mwisho kuamini eti wana akili zaid wanakufa kugombea ardhi ambayo wameikuta na wenyeji ndani yake wanaradhimisha kuwatoa wenyeji li!waishi wao kwa njia ngumu . sasa ant tank mpya ivo vifaru watavifichia wapi naona vita ndio vinaanza watu wamechoka kuona hii zulma wanapenyeza viuma hatari Gaza Hesbullah kunawakati walikuwa na ant tank chapa qurnet y kifaransa nayo sio poa kifaru kinarushwa juu mazee. Hii yasasa uko Gaza sijui yawapi mana kifaru kinaenda juu na kinachanguka vipande vipande hii vita tuache ushabiki w kidini kwapamoja tupinge hii vita, au laah tujiandae kuviona vita ivi vikienea mashariki ya kati mwisho tutavigalamia kupitia mafuta gas mtayakumbuka aya maneno yangu.
Mkuu wewe una ugomvi na herufi h? Then akili kama hii eti ndiyo inatoa ushauri kwa Israeli, kweli wewe ndiye wa kutoa ushauri wakati hali yako ndivyo kama hivi.
 
Back
Top Bottom