zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Huyu waziri c alisema Iran itakua kama Gaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaiga maneno yetu ? Maana nyie ndio kila siku propagandaKwenye habari wenye akili mara zote wanaangalia vitu vitatu..
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3.AUTHOURITATIVE
Hivi vingine ni taka taka tu maana habari kama hii haina kichwa wala miguu hata mimi naweza kuandika tu na kamwe haiwezi kuitwa habari hii ndiyo inayoitwa PROPAGANDA au MATANGO PORI!!!. Ukitaka kujua vizuri utaona kwenye mitandao Hezbollah wanashinda vita lakini On the Ground Hezbollah wanachapoka ile mbaya. Haya ni maneno tu ya kujifariji ambayo hayapunguzi chochote kwenye uwanja wa Mapambano.
Hata wakisikia sauti ya netanyau wasitoke itakua mtegoWanamgambo wa Hezbullah wamepenyeza kwenye makazi ya Givat Assaf. Sa waisrael wameambiwa waingie ndani ya nyumba zao wajifungie milango na wakisikia sauti wasitoke 😄
Vyombo vya habari vya Israel
Hahahahahahaha aisee mkuu umeshtuka hutak vitu toka kwa mwamposaWa Israel mpaa leo wanaitafuta
Solomon's Temple wao wanammuita King Solomon. Wameisha mulika kwa tochi mpaa chini ya Masjid Al Aqsa hawajapata hio Salomon's Temple. Sababu hakuwahi kujenga Temple ali rudia ku ujenga Masjid Al Aqsa. Hawa Wayahudi vichaa kweli kama hawa tulionao hapa wayahudi weusi. Wanatulazimisha watupe bikra 72 za kutoka kanisani 😄
😂😂😂😂😂Ndio Bikira 72 ni wachache sana, tuliona hapa Dunian mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700, na aliishi nao , sasa iweje 72 iwe uongo? ebu acha wivu wewe muimba kwaya
World war zombie imeshutiwa hapo hapo
Huyu waziri c alisema Iran itakua kama Gaza
Sasa kwanini tusiamini bikra 72 wakati kuna mtu alikuwa na wanawake 700 hapa hapa Duniani!!!kama mtu anaamin Mungu anaweza kushuka duniani kuja kutundikwa kama KORODANI na binadamu alio waumba mwenyewe, sasa bikra 72 zina shida gani?😂😂😂😂😂😂😂😂
Hivi kumbe ni kweli kuna watu wanaamini story za mudi za mabikra 72 na mito ya pombe? Binafsi nilikuwa najua ni utani tu, jamaa umetisha, eti mbona ni wachache, ama kweli mudi bingwa
Sawa mkuu, so huko mbinguni mnaenda na miili yenu kwa ajili ya kuwashughulikia hao mabikra au mnaendaje endaje? Pia vp kuhusu undugu wenu na majini?Sasa kwanini tusiamini bikra 72 wakati kuna mtu alikuwa na wanawake 700 hapa hapa Duniani!!!kama mtu anaamin Mungu anaweza kushuka duniani kuja kutundikwa kama KORODANI na binadamu alio waumba mwenyewe, sasa bikra 72 zina shida gani?😂😂😂
Hapana itaboreshwa zaidi kwasababu kule ni jambo la milele, ni kula rahaaa kufa hakuna wala uchovu wala maradhi, kuhusu majini ni viumbe tu kama viumbe wengine wala hakuna undugu wowote, kwani mkuu na wewe una amini Mungu wako alikuja duniani kutundikwa na binadamu alio waumba mwenyewe?Sawa mkuu, so huko mbinguni mnaenda na miili yenu kwa ajili ya kuwashughulikia hao mabikra au mnaendaje endaje? Pia vp kuhusu undugu wenu na majini?
Hilo ni jambo la kiimani mkuu, sasa kama duniani mnaambiwa msinywe pombe inakuwaje mnaambiwa mkifa mtapewa pombeHapana itaboreshwa zaidi kwasababu kule ni jambo la milele, ni kula rahaaa kufa hakuna wala uchovu wala maradhi, kuhusu majini ni viumbe tu kama viumbe wengine wala hakuna undugu wowote, kwani mkuu na wewe una amini Mungu wako alikuja duniani kutundikwa na binadamu alio waumba mwenyewe?
Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.
View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB