Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

 
Nafikiri sasa kwa sasa Israel akili imeanza kuingia pole pole. Waliopopigwa kitisho na Iran kwamba Iran itaingia vitani na Israel jumla jumla na walipoona Hezbollah wana uwezo wa kuingia mpaka Chumbani kwa Netapusi, wameamua kuwa Wapole kama yule anayefanyiwa massage.
 
JF picha za maiti za Israel wamepiga pin ukipost tu hazifunguki. Zingine ruksa kupost😂
Hapo utakuwa umejua nguvu ya Israel mpaka JF. Sasa nani mwenye akili timamu anaweza kuyajali hayo magaidi? Majitu mazima yanahaidiwa mito ya pombe na mabikra 72 pindi yakifa na yenyewe yanaamini, mara yanasema majini ni wenzao sasa nani anaweza kuyajari majitu ya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…