Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Here are some new details and revelations about the Israeli strike in Iran:

1.The strike destroyed all of Iran’s strategic air defense capabilities. This includes all long-range surface-to-air missile batteries. Iran had two such models: the Russian S-300 and an advanced Iranian-made model. All batteries were destroyed, along with long-range detection radars. Essentially, Iran is now left only with short-range air defense batteries of local Iranian models.

2.The main damage to air defense batteries was in Tehran and western Iran. In Tehran, this means exposing and making the Iranian capital vulnerable, while in western Iran, this area is where Iran launched ballistic missile attacks on Israeli territory, providing operational efficiency for the future.

3.IDF assessment: Iran has lost its strategic air defense capabilities for the next two to three years. Russia cannot supply it with systems due to the war in Ukraine, and it will take Iran a long time to produce new systems of the Iranian model.

4.According to reports, Iran holds over 2,000 long-range ballistic missiles. The existing arsenal was not damaged—only the capability to produce new missiles (as reported, planetary mixers, etc.). This means that Iran will now operate on a limited munitions economy, as its current missile stockpile will not be able to grow in the near future (in the coming months or years).

5.Contrary to various reports, there was no damage to Iran’s drone array. (We need find out what was hit at the Shams Abad site)

6.More than 140 aircraft participated in the strike. Over 50% of the pilots and navigators involved were reservists.

7.The IDF anticipated that the Iranians might respond with an attack of 200 ballistic missiles during the strike, while the aircraft were still airborne. The Air Force was prepared with a continuity plan that would allow both defense against such an attack and the completion of all three strike waves without forfeiting any targets. Ultimately, the Iranians chose not to respond immediately. A senior security official commented: “Every moment that passes without a response indicates they are conducting damage control, thinking with their heads and not their hearts, and weighing their steps.”

8.Preparations for a potential Iranian attack: This time, the Americans are expected to play a more significant role in defense and interception, thanks to the THAAD battery stationed in Israel and three ships equipped with AEGIS defense systems capable of intercepting ballistic missiles, which were also involved in intercepting the attack in early October.

(Doron Kadosh)
 
Wanaukumbi.

Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.

Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.

View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB

Screenshot_2024-10-23-23-07-52-155_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-22-20-55-853_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
Screenshot_2024-10-17-21-30-47-653_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-17-20-50-31-166_com.twitter.android~2.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-20-50-31-166_com.twitter.android.jpg
    Screenshot_2024-10-17-20-50-31-166_com.twitter.android.jpg
    301.5 KB · Views: 1
lkn bora udanganywe na mudi kuliko kudanganywa na biden
Waweza ukawa uko sahihi, lakini ishu ya kuambiwa majini ni ndugu zako siyo poa, mara ukifa utakuta mito ya pombe na mabikra 72 na mtu anaamini unadhani huyo mtu akili zake zikoje
 
Wanaukumbi.

Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.

Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.

View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB

Hamna kitu mtaifanya Israel mkafanikiwa, kitendo cha kuingia anga la Iran nakutoka salama bado humuelewi labda kufa ni fungu lenu
 
Waweza ukawa uko sahihi, lakini ishu ya kuambiwa majini ni ndugu zako siyo poa, mara ukifa utakuta mito ya pombe na mabikra 72 na mtu anaamini unadhani huyo mtu akili zake zikoje
shingo yako imebeba mzigo
 
Waweza ukawa uko sahihi, lakini ishu ya kuambiwa majini ni ndugu zako siyo poa, mara ukifa utakuta mito ya pombe na mabikra 72 na mtu anaamini unadhani huyo mtu akili zake zikoje
Bora hiyo kuliko kuamini mtu kaletwa duniani kwa kuvalishwa kichupi kwa kufanywa laana ili msamehewe dhambi. Si upumbavu huo? Mbinguni mnaenda kukata viuno na kuimba mwanzo mwisho.
Hiyo bikra 72 hata kama imeandikwa sio jambo geni duniani kuna mfalme Mswati kila mwaka. Mwanaume anayechukia mabikra bila shaka huyo ni LGBT.
 
😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana mkuu, so wewe unaamini kweli kuwa utakuta hao mabikra 72 na mito ya pombe? Mudi bingwa 🤣🤣🤣
 
Zayuni anapatishwa tabu sana

Zaidi ya Waisraeli Milioni Moja wanakimbili mashimoni mara nne kwa siku. Uchumi unayumba.

Kule Israel Kaskazini zaidi ya wakazi Laki moja wamehamishwa wanalipiwa hotel. Na Hezbollah hajaacha kurusha maroketi 100 daily.

Na Iron dome zao nazo zina upungufu wa maroketi ya kudungua missiles za Hezbollah.
 
Hapo utakuwa umejua nguvu ya Israel mpaka JF. Sasa nani mwenye akili timamu anaweza kuyajali hayo magaidi? Majitu mazima yanahaidiwa mito ya pombe na mabikra 72 pindi yakifa na yenyewe yanaamini, mara yanasema majini ni wenzao sasa nani anaweza kuyajari majitu ya hivyo
Ulitaka tuhaidiwe kuliwa mikundu kama nyinyi mlivyo haidiwa na papa wenu?
 
Wanaukumbi.

Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.

Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.

View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB

Habari mbaya xnaa kwa wanakondooo itabid waongeze maombi kwa taifa teule
 
Pichani ni Siku ya shambulizi la Israel kwa Iran , wananchi wa Iran walitoka nje kuangalia kama wataona kombora lolote likipita angani lakini hawakuona hata njiti ya kiberiti ikipita kutokana na ulinzi imara wa anga walionao Iran
Screenshot_20241028_110017_X.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana mkuu, so wewe unaamini kweli kuwa utakuta hao mabikra 72 na mito ya pombe? Mudi bingwa 🤣🤣🤣
Hakuna aya iliyoandikwa bikra 72. Na pombe iliyozungumzwa isiyoleweshwa hata maandiko yameandika. Twende wewe unaamini kuvalishwa kichupi yule msanii wenu na kutundikwa msalabani ndiyo dhambi zinasamehewa? Kuna watu wanaamini kufufuliwa ni story za kipuuzi. Tuambie wewe unaamini nini? Usijifiche kwenye kivuli cha kushambulia uislamu.
 
Mimi ninaamini katika Yesu kristo mnazareti aliye hai. Sina imani na mambo ya mudi ya mabikra 72 wala mito ya pombe na majini siyo ndugu zangu
 
Back
Top Bottom