Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Kwenye habari wenye akili mara zote wanaangalia vitu vitatu..
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3.AUTHOURITATIVE
Hivi vingine ni taka taka tu maana habari kama hii haina kichwa wala miguu hata mimi naweza kuandika tu na kamwe haiwezi kuitwa habari hii ndiyo inayoitwa PROPAGANDA au MATANGO PORI!!!. Ukitaka kujua vizuri utaona kwenye mitandao Hezbollah wanashinda vita lakini On the Ground Hezbollah wanachapoka ile mbaya. Haya ni maneno tu ya kujifariji ambayo hayapunguzi chochote kwenye uwanja wa Mapambano.