Mkuu ukiacha utani wapi wakristo wamehaidiwa hicho kitu? Je wale wa mabikra 72 na mito ya pombe ni uongo? Kama ni uongo sema ili tusijekuwa tunasema kitu cha kukashifu imani za watu kumbe siyo kweli. Sema kama siyo kweliHeri hao waliohaidiwa mabikira,je wale waliohaidiwa kupakatwa na kidume Ibrahim,,kama Lazaro.