Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Heri hao waliohaidiwa mabikira,je wale waliohaidiwa kupakatwa na kidume Ibrahim,,kama Lazaro.
Mkuu ukiacha utani wapi wakristo wamehaidiwa hicho kitu? Je wale wa mabikra 72 na mito ya pombe ni uongo? Kama ni uongo sema ili tusijekuwa tunasema kitu cha kukashifu imani za watu kumbe siyo kweli. Sema kama siyo kweli
 

Attachments

  • FB_IMG_1728665969269.jpg
    FB_IMG_1728665969269.jpg
    43.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727106260795.jpg
    FB_IMG_1727106260795.jpg
    36.6 KB · Views: 1
Bora wao wanaakili kiasi, kuliko wale waliyodanganywa na mudi kuwa watakuta mabikra 72 na mito ya pombe. Je wew unaamini story za mudi?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
    Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
    214.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-10-19-10-14-17-919_com.android.chrome.jpg
    195.1 KB · Views: 1
Bora wao wanaakili kiasi, kuliko wale waliyodanganywa na mudi kuwa watakuta mabikra 72 na mito ya pombe. Je wew unaamini story za mudi?
Ndio Bikira 72 ni wachache sana, tuliona hapa Dunian mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700, na aliishi nao , sasa iweje 72 iwe uongo? ebu acha wivu wewe muimba kwaya
 
WaIsrael wasipo geukia aman watalala nq panya ktk mahimo adi akili ziwakae sawa leo nchi yote ya Isreal kwamoto ata vikao wanafanya kwa tadhali lkn uko nyuma awakuwa ivi ndio mana tunasema yajayo yanafuraisha aman una ndani kwako heee ukambozi unakalibia nani ataishi kwamashaka siku zote. Watatema bungo. Nyumba ya Netanyahu ilianza na picha kupigwa mwisho ikapigwa na drone yote onyo tu. Watafute aman.
 

Inaonyesha wazi kuwa huijui Tel Aviv ilivyo na hujui kambi ya Jeshi ambavyo inakuwa kama hujui kambi za Jeshi zinavyojengwa nenda hapo lugalo waombe tu wakuingize tu kwa saa moja tu ndipo unaweza kupata picha halisi!! Hii picha ni ya Shambulizi la Israel huko Yemen kwenye bandari ya Hodeidar!! Wajinga tu na wapumbavu ndiyo wataamini Pumba hizi. Kwa taarifa yako tu Israel hajaribiwi ukipiga unapigwa sana, hapo ndipo sera za Jino kwa Jino zinakaa!!. Endeleeni kujifariji na video za michongo lakini magaidi wa Hamas na Hezbollah safari hii mpaka watanyooka!!
 
Wanamgambo wa Hezbullah wamepenyeza kwenye makazi ya Givat Assaf. Sa waisrael wameambiwa waingie ndani ya nyumba zao wajifungie milango na wakisikia sauti wasitoke 😄

Vyombo vya habari vya Israel
 
Back
Top Bottom