Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una amini mtu aliepigwa misumari miaka 2024 huko iliyopita kua yuko hai hadi sasa hiviMimi ninaamini katika Yesu kristo mnazareti aliye hai. Sina imani na mambo ya mudi ya mabikra 72 wala mito ya pombe na majini siyo ndugu zangu
Afazal sie tunamfata mtume wetu kuliko nyie mlioacha kumskiliza yesu mkamfata PauloIla wafuasi wa mudi sijui aliwapa nini mpaka mkawa mbumbumbu kiasi hiki, akawaambia muipe kipaumbele elimu ahera wakati nyie mnasihi duniani. Bila wafuasi wa mudi dunia ingekuwa sehem salama sana
Haya maneno yako hayana uhusiano wowote na vita vya Gaza na Hezbollah. Uwa nacheka sana wasomi wetuhawa wagalatia wa Tanzania wavyojitapa na Div 1 za Kanisa. Kama huyu utakuta kwao kijijini wazee wake wanaumwa UTI sugu wanakunya kwenye mashimo akija JF anajitapa msomi😂 ukumuulliza huo usomi wako unaojitapa nao umeisaidia nini Tanzania zaidi ya kuiba, pumbavu kabisa yanaiba pesa serikalini yanapeleka kwa Mwamposa.Ila wafuasi wa mudi sijui aliwapa nini mpaka mkawa mbumbumbu kiasi hiki, akawaambia muipe kipaumbele elimu ahera wakati nyie mnasihi duniani. Bila wafuasi wa mudi dunia ingekuwa sehem salama sana
Kwa hiyo unaamini alivalishwa kichupi na kuuliwa msalabani ili msamehewe dhambi? Wewe hauoni ni upumbavu wa hali ya juu?Mimi ninaamini katika Yesu kristo mnazareti aliye hai. Sina imani na mambo ya mudi ya mabikra 72 wala mito ya pombe na majini siyo ndugu zangu
Peleka jukwaa la dini tatakuja kujadili hapa ni uwanja wa vita.Afazal sie tunamfata mtume wetu kuliko nyie mlioacha kumskiliza yesu mkamfata Paulo
Peleka jukwaa la dini tatakuja kujadili hapa ni uwanja wa vita.
View: https://x.com/zainabali_72/status/1850614695893618871?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hata shetani hajafa hadi sasa. Na kila mtu atakuwa hai. Sijajua wenzenu mnakuwa mazezeta kiasi gani? Wengine hamuwaamini kwa sababu hawapo hai?Mimi ninaamini katika Yesu kristo mnazareti aliye hai. Sina imani na mambo ya mudi ya mabikra 72 wala mito ya pombe na majini siyo ndugu zangu
Yule fala alitaka nitoa mchezoni c unajua wakiona kipigo wanakuja na mambo ya dini
Sijaelewa kwa hiyo hamas wameshinda vita au?
Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza kupatikana kupitia operesheni za kijeshi peke yake.
=========================
Power is not the essence of everything
To realise our moral and ethical duty to bring our hostages home
will have to make painful concessions
"Not all objectives
can be achieved through military operations alone.
View: https://x.com/kahlissee/status/1850682346976018580?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://youtu.be/CC6e6W5j1jU?si=MwAxv_VZ0hWS22wB